TANZIA Mtangazaji nguli, Baba T wa East Africa Radio afariki dunia

BURIANI BABA T
Screenshot_20211112-045750_Samsung Internet.jpg
 
si kweli maana hadi mwezi ulopita alikuwa anataka kuhamia Ghana. Katika maisha yake hakukubali kuwa Mtanzania. Alikuwa rafiki wangu wa karibu
Sasa alikua anangoja nin bongo au alishikiwa mtutu kuishi hapa?
 
Alisubiri mteja wa kununua nyumba yake
Vipi kamanda alikuwa anakwazika na nini tz? kunyimwa passport?uhuru wa kuishi mawazo etc? Uchumi na maslahi ya kazi au nini hasa hadi atamani kuondoka tz licha ya kuishi kwake hapa miaka mingi?

Na je historia yake wakati akihamia tz alikuwa na elimu gani, kipato gani na umri gani?
 
Vipi kamanda alikuwa anakwazika na nini tz? kunyimwa passport?uhuru wa kuishi mawazo etc? Uchumi na maslahi ya kazi au nini hasa hadi atamani kuondoka tz licha ya kuishi kwake hapa miaka mingi?

Na je historia yake wakati akihamia tz alikuwa na elimu gani, kipato gani na umri gani?
Kikubwa kunyimwa uraia, wakazi wenzake wa Tegeta - Nyaishozi waweza kujibu maswali yako mengine
 
True hata pale East Africa radio aliacha kufanya kazi sababu ya vibali vya kazi hii nchi ni ya hovyo sana mtu kaishi zaidi ya miaka 50 lkn bado wanamletea ugumu, nchi yenyewe masikini sijui tungekua kama US ingekuaje
Au walihisi ni kipepeo
 
Mzee alikuwa amfagilii Bob Marley.. anasema Bob alikuwa mbinafsi sana na mpenda sifa na mchoyo
It's undisputable fact that Bob Marley pamoja na kuomba nyimbo zenye ujumbe wa kirasta na kusaidia ukombozi wa Africa na mwafrika ikiwemo kuweka Jamaica kwenye ramani ya dunia kwenye music wa reggae, bado Bob alikuwa na Mambo yake Kama mwanadamu ambayo asingeweza kuwafurahisha kila mtu lakini alifanya alichoweza kwa nafasi yake ikiwemo kutembelea nchinza afrika kwenye mapambano ya kudai Uhuru.

So ukiangalia Kuna kaukweli Ila wao walitegemea awasaidie vipi? Sema jamaa alikuwa Malaya sana kagonga.mademi wa kizungu balaa sijui ana watoto wangapi?
 
Back
Top Bottom