Mtangazaji huyu, | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtangazaji huyu,

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Wa Kigoma, Jul 24, 2010.

 1. W

  Wa Kigoma New Member

  #1
  Jul 24, 2010
  Joined: Jul 6, 2010
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi jamani, kuna mtu amesema ameona kwenye facebook mtangazaji huyu anataka kugombea ubunge Iddi Ligongo, nikafuatilia na sikuona dalili hizo hata kwenye vyombo vya habari sijaona, sasa nataka kujua ni kweli kama mmesikia na hivi sasa jamaa yupo wapi, maana hata luningani simuoni.
   
Loading...