Mtangazaji Hassan Ngoma wa Clouds tv na 360 anastahili Sifa kwa kuwa ni Fundi wa Kufanya ' Interviews ' Msibani

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,389
108,462
Kwakweli nampongeza sana huyu Mtangazaji kwani akiwa anawahoji Waswahili Wenzake hapo Msibani anakuwa mchangamfu na anajiachia mno, anakuwa na amani na furaha huku akitumia dakika kati ya 5 hadi 7 Kuwahoji.

Katika Kuonyesha ' Uweledi ' wake mzuri na wa Kutukuka Mtangazaji huyu huyu akiwa anamhoji Mzungu au Mtu ambaye anazungumza Kiingereza huwa anakuwa anatetemeka sana, hajiamini, hatulii, anakuwa mwoga mwoga na anatumia tu Sekunde 47 hadi dakika 1 tu Kumuhoji na anamuaga haraka ili arejee kwa Waswahili wenzake anaowezana nao.

Pongezi zake sana huyu Mtangazaji Hassan Ngoma a.k.a Mr. Tanzanite.

Nawasilisha.
 
Kuna ullloliacha, malizia.
 
Hassan Ngoma aka Kibiriti Ngoma...

CCM fan boy!

No respect from this side!
 
Huyo jamaa sasa inabidi atafute chochoro lingine maana mbeleko yake imekatika. Alianza kick kwa babu yake mzee Ngoma keshavuta haya sasa na Ruge naye huyo sasa inabidi achange karata zake vizuri muda ushabadilika haraka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kampe hicho
Kwakweli nampongeza sana huyu Mtangazaji kwani akiwa anawahoji Waswahili Wenzake hapo Msibani anakuwa mchangamfu na anajiachia mno, anakuwa na amani na furaha huku akitumia dakika kati ya 5 hadi 7 Kuwahoji.

Katika Kuonyesha ' Uweledi ' wake mzuri na wa Kutukuka Mtangazaji huyu huyu akiwa anamhoji Mzungu au Mtu ambaye anazungumza Kiingereza huwa anakuwa anatetemeka sana, hajiamini, hatulii, anakuwa mwoga mwoga na anatumia tu Sekunde 47 hadi dakika 1 tu Kumuhoji na anamuaga haraka ili arejee kwa Waswahili wenzake anaowezana nao.

Pongezi zake sana huyu Mtangazaji Hassan Ngoma a.k.a Mr. Tanzanite.

Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dongo Msibani

Back
Top Bottom