Mtangazaji Hassan Ngoma amshangaa na Kumponda Mbunge Halima Mdee kwa kutoa siri za Bunge hadharani!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,779
141,667
Mtangazaji anayeongoza kwa umaarufu nchini Hassan Tanzanite Ngoma wa Clouds tv amemshukia vikali mbunge wa kawe Halima Mdee kwa kitendo chake cha kuonyesha hadharani barua yake ya kuitwa kwenye kamati ya maadili ya bunge.
Ngoma anasema barua ile ina muhuri wa SIRI hivyo ni utovu wa nidhamu uliotukuka kuipost barua hiyo kwenye mitandao ya kijamii.

Ngoma amesema atashangaa kama mbunge huyo hataitwa tena na kamati hiyo na kufungiwa kwa upuuzi alioufanya akiwa kama kiongozi.

Sasali mtangazaji mwingine wa Clouds tv amempongeza Prof Kitila Mkumbo kwa kumshukia kama mwewe Rais wa TLS Fatuma Karume aka Shangazi

Source Clouds 360
Maendeleo hayana vyama!
 
Hizo tafiti za Ngoma Kuongoza kwa umaarufu umezitoa wapi?

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
 
Back
Top Bottom