Mtangazaji gani ulimjengea picha tofauti na jinsi alivyo, kuanzia kimuonekano, umri na uvaaji pindi ulipomsikiliza kwa mara ya kwanza radioni

Ndiyo maana watangazaji hawajuwi wanafanya nini, mtu anatangaza lakini anafikiri anaongea na mshikaji wake sebuleni.
Halafu most of them wanaigana
Ukimsikiliza B12 na Jonijoo kama wanajikopi ishort watangazaji wengi kwasasa wanaigana sauti
 
Back
Top Bottom