mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 6,607
- 4,902
Millard Ayo, yuko fake kinoma
Ndiyo maana watangazaji hawajuwi wanafanya nini, mtu anatangaza lakini anafikiri anaongea na mshikaji wake sebuleni.Jina limempa Ajira ya utangazaji yaani siku hizi ukiwa na jina hapa mjini umewini mkuu hulali njaa
Kivpi mkuu?Millard Ayo, yuko fake kinoma
Halafu most of them wanaiganaNdiyo maana watangazaji hawajuwi wanafanya nini, mtu anatangaza lakini anafikiri anaongea na mshikaji wake sebuleni.
Yupo single mkuu changamkia fursaFurahia ana msambwanda, hatari.
Ulipatia na kweli alikuwa hivyohivyoisack gamba
mbase wake na alvyo havipishani
misanya bingi huyu najuaga ni white mwenye kipara cha mkapa alafu bonge anavaa miwani ya mkapa yaani bosi bosi flani hivi
ila mpk anakufa sijamwona live wala hata kwa tv
Wengi wenu mmejadili huu uzi kwa namna ya udhalilishaji!!!
Hamjawatendea haki wahusika..
Yupo single mkuu changamkia fursa
Lete Maneno ...............Halafu most of them wanaigana
Ukimsikiliza B12 na Jonijoo kama wanajikopi ishort watangazaji wengi kwasasa wanaigana sauti