TANZIA Mtangazaji Fred Fidelis ''Fredwaa'' afariki dunia kwa ajali ya gari

Mtangazaji Fred Fidelis maarufu kwa jina la Fredwaa amefariki dunia leo tarehe 12 Juni, 2021 baada ya kupata ajali eneo la Kawe.

Kwa wale wakongwe, utamkumbuka Fredwaa kwa lipi?

so sorry kwa wapendwa wake hasa MKE, popote alipo mke wa FREDWAA na mpa pole maalum, najua hili, nampa pole, mungu amjalie kuwa na moyo mkuu.
 
Mtangazaji Fred Fidelis maarufu kwa jina la Fredwaa amefariki dunia leo tarehe 12 Juni, 2021 baada ya kupata ajali eneo la Kawe.

Kwa wale wakongwe, utamkumbuka Fredwaa kwa lipi?

Huyu mwamba alikuwa na sauti ya kipekee Sana redion nakumbuka akiwa RFA enzi hizo inatamba sana na kile kipindi Cha saa mbili asubuh jumatatu Hadi ijumaa...

RIP mtangazaji...
 
Back
Top Bottom