Mtangazaji EFM Irene Kilenga: Siasa hazina maana yoyote, tujenge nchi yetu

Siasa haina maana wakati kila kitu kinaamuliwa na siasa...huu ni upumbavu
 
Wanasiasa wanapenda hizi kauli za ku-discourage hasa vijana kushiriki siasa ili waendelee kuwala vichwa!

BTW: Kilichofanya Lita 1 ya petrol iuzwe 4200/= kutoka 3000/= ni hizo siasa ambazo hazina maana yoyote!
 
King Kong III, njoo usikie anachokisema bebi Mama.
Ukimsikiliza vizuri ameongea jambo la umuhimu ,kwasasa akimaanisha kwa hali ilivyo siasa hazina maana ,ni kama slogan ya no reforms na election ,anaamisha kwa uongozi huu/utawala huu hakuna tutakachofanya ni kupoteza muda bora huo muda unaopoteza tufanye kazi.

Viongozi hawasikilizi chochote ,wanafanya mambo hovyo hovyo ,polepole katekwa hakuna kinachoendelea ,nchi inanyimwa misaada kwa upumbavu wa viongozi hakuna anayejali ,ukitoa maoni tofauti ya watawala UNASAKWA kama Simba au mamba aliyekula mtu.
 
Sahihi kabisa.
 
Wakuu,

Wanasema Media ni 'Watchdog' ikimaanisha ni muhimili unaojitegemea ikiwa na majukumu ya kulinda maslahi ya umma kwa kuvumbua mabaya na kuyasemea yale ambayo serikali inafanya.

Kwa kauli ya huyu mtangazaji ikifuatuwa na viitikio vya wenzake baaaas Media zetu zimejaa watangazaji uchwara na machawa.

Tunapolalamika kwamba vyombo vyetu vya habari vimeminywa na serikali tuko sawa, inawezekanaje mtu ambaye amepewa nafasi ya kutoa sauti kwa niaba ya wengine kuwa chanzo cha kuminya sauti hizo eti "Siasa hazina maana" basi wananchi wakae kimya pindi wanapoona mwanasiasa anapominya haki, utekaji ukikithiri, wananchi wanauawa, haki ya kikatiba ikivunjwa, uchaguzi usio huru!!! tubaki tukisema siasa haina maana

Utawezaje kuijenga nchi isiyo na haki, wachache wanaojiita wanasiasa waliojipa mamlaka wakitafuna kodi na rasilimali, sasa itajengwa na nini?
Media house zote zimejaa vilaza na chawa wa watawala tu.
 
May be hajui maana ya siasa. Ujenzi wa nchi ndio siasa.
 
Wakuu,

Wanasema Media ni 'Watchdog' ikimaanisha ni muhimili unaojitegemea ikiwa na majukumu ya kulinda maslahi ya umma kwa kuvumbua mabaya na kuyasemea yale ambayo serikali inafanya.

Kwa kauli ya huyu mtangazaji ikifuatuwa na viitikio vya wenzake baaaas Media zetu zimejaa watangazaji uchwara na machawa.

Tunapolalamika kwamba vyombo vyetu vya habari vimeminywa na serikali tuko sawa, inawezekanaje mtu ambaye amepewa nafasi ya kutoa sauti kwa niaba ya wengine kuwa chanzo cha kuminya sauti hizo eti "Siasa hazina maana" basi wananchi wakae kimya pindi wanapoona mwanasiasa anapominya haki, utekaji ukikithiri, wananchi wanauawa, haki ya kikatiba ikivunjwa, uchaguzi usio huru!!! tubaki tukisema siasa haina maana

Utawezaje kuijenga nchi isiyo na haki, wachache wanaojiita wanasiasa waliojipa mamlaka wakitafuna kodi na rasilimali, sasa itajengwa na nini?
Jianamke kama hili ni hasara kwa familia yake
 
Ukimsikiliza vizuri ameongea jambo la umuhimu ,kwasasa akimaanisha kwa hali ilivyo siasa hazina maana ,ni kama slogan ya no reforms na election ,anaamisha kwa uongozi huu/utawala huu hakuna tutakachofanya ni kupoteza muda bora huo muda unaopoteza tufanye kazi.

Viongozi hawasikilizi chochote ,wanafanya mambo hovyo hovyo ,polepole katekwa hakuna kinachoendelea ,nchi inanyimwa misaada kwa upumbavu wa viongozi hakuna anayejali ,ukitoa maoni tofauti ya watawala UNASAKWA kama Simba au mamba aliyekula mtu.

Ukimshika vizuri huyu jamaa, amegusa penyewe na amezungumza jambo la msingi sana linaloonekana wazi kwa sasa. Ukweli ni kwamba chini ya utawala huu, siasa zimepoteza maana na zimebaki kuwa kupoteza muda tu—ni kama ile kauli mbiu ya 'No reforms, no election'. Viongozi wameziba masikio, wanafanya mambo hovyo, na hakuna anayejali maslahi ya taifa. Hali ya usalama imekuwa tete kiasi kwamba mambo mazito kama utekaji wa Polepole yanapita hivi hivi, na nchi inakosa misaada kwa uzembe wa viongozi lakini bado wako kimya. Leo hii ukitoa maoni tofauti, unasakwa kama simba au mamba aliyekula mtu. Kwa muktadha huu, ni bora tu ule muda wa kupoteza kwenye siasa ukawekwa kwenye kazi za uzalishaji ili maisha yasonge.
Hata hivyo, tatizo kubwa liko kwenye 'timing' ya hawa wanahabari wetu kutoa kauli kama hizi kwa sasa. Kazi yao kubwa na ya msingi ni kuwa sauti ya umma na kuhakikisha serikali inafanya kila kitu kuwatumikia watu. Wanapozungumza kwa namna hii wakati huu, wanakatisha tamaa wananchi ambao tayari wana hali ngumu. Wanahabari hawapaswi kunyoosha mikono juu au kutupa taulo; wanatakiwa kusimama kidete kuibana serikali iwajibike, sio kutengeneza mazingira ya watu kukata tamaa kabisa.
 
Wakuu,

Wanasema Media ni 'Watchdog' ikimaanisha ni muhimili unaojitegemea ikiwa na majukumu ya kulinda maslahi ya umma kwa kuvumbua mabaya na kuyasemea yale ambayo serikali inafanya.

Kwa kauli ya huyu mtangazaji ikifuatuwa na viitikio vya wenzake baaaas Media zetu zimejaa watangazaji uchwara na machawa.

Tunapolalamika kwamba vyombo vyetu vya habari vimeminywa na serikali tuko sawa, inawezekanaje mtu ambaye amepewa nafasi ya kutoa sauti kwa niaba ya wengine kuwa chanzo cha kuminya sauti hizo eti "Siasa hazina maana" basi wananchi wakae kimya pindi wanapoona mwanasiasa anapominya haki, utekaji ukikithiri, wananchi wanauawa, haki ya kikatiba ikivunjwa, uchaguzi usio huru!!! tubaki tukisema siasa haina maana

Utawezaje kuijenga nchi isiyo na haki, wachache wanaojiita wanasiasa waliojipa mamlaka wakitafuna kodi na rasilimali, sasa itajengwa na nini?

Kuna msemo flan nliusomàga sehem kipindi cha nyumba unasemaje
Kama haupendi Wala kufuatilia siasa, na ww umeamua kujitenga kabsa na siasa basi atatokea mpuuzi 1 asiyejielewa Wala kuelewa namna yakuongoza nchi, mpenda siasa ambaye ataishia kupata nafasi yakuongoza nchi, na wewe utabaki kusikia maumivu na mateso ya ujinga wake.

#backbenchers
 
Wakuu,

Wanasema Media ni 'Watchdog' ikimaanisha ni muhimili unaojitegemea ikiwa na majukumu ya kulinda maslahi ya umma kwa kuvumbua mabaya na kuyasemea yale ambayo serikali inafanya.

Kwa kauli ya huyu mtangazaji ikifuatuwa na viitikio vya wenzake baaaas Media zetu zimejaa watangazaji uchwara na machawa.

Tunapolalamika kwamba vyombo vyetu vya habari vimeminywa na serikali tuko sawa, inawezekanaje mtu ambaye amepewa nafasi ya kutoa sauti kwa niaba ya wengine kuwa chanzo cha kuminya sauti hizo eti "Siasa hazina maana" basi wananchi wakae kimya pindi wanapoona mwanasiasa anapominya haki, utekaji ukikithiri, wananchi wanauawa, haki ya kikatiba ikivunjwa, uchaguzi usio huru!!! tubaki tukisema siasa haina maana

Utawezaje kuijenga nchi isiyo na haki, wachache wanaojiita wanasiasa waliojipa mamlaka wakitafuna kodi na rasilimali, sasa itajengwa na nini?
Malaya wa watawala exposing herself.
 
Back
Top Bottom