Mtangazaji BBC, Salim Kikeke kadhalilishwa vibaya mtandaoni

Hairuhusiwi kwa yule ambaye si mke wako. hata kama unapeana mkono hakikisha kiganja chake kimefunikwa kwa nguo/kanga au gloves. Wewe huoni sasa hapo Kikeke amedindisha!!! Hairuhusiwi jamani.

Huyu jamaa anaishi Ulaya, ukifika kule unaachana na mambo ya dini unakuwa Kimagharibi zaidi...watu wanwangalia jina kuwa jamaa ni muislam safi, who told u?
 
Pole sana salimu kikeke,mi najivunia sana mtangazaji kama wewe,umetulia ukikaa kwenye dawati la habari yaani unawapita hata wasoma habari wa kizungu
 
Kudindisha ni kudhalilika?

Wala sio kudhalilika ni dalili njema za mwanaume, kwani wako wanaume wanaolilia kudinda lakini hawawezi. Huyo ni mrembo wa dunia bwana, itakuwa ajabu ukutane na mrembo kuliko wanawake wote duniani halafu usidinde we vipi? Unaweza kudinda kwa kuguswa, kuona, kusikia, kuhuhisia. Wako wanawake na wanaume wanaojipaka mafuta au perfume yanayosababisha watu waliokaribu naye wadinde ovyo pia, inawezekana huyo mrembo alijipuliza manukato hayo pia ili kuwadhihirishia wanaume urembo wake. Kudinda kunaongozwa na mfumo wa kidigitali mwilini sio analojia. Huwezi kulazimisha kudinda kama ubongo hauko tayari. Usijali Kikeke tuko nawe
 
Hairuhusiwi kwa yule ambaye si mke wako. hata kama unapeana mkono hakikisha kiganja chake kimefunikwa kwa nguo/kanga au gloves. Wewe huoni sasa hapo Kikeke amedindisha!!! Hairuhusiwi jamani.

mkuu sidhani kama haya yanafanyika ni uwongo tuu
 
Aibu kubwa sana hii kwa mtangazaji nguli kama yeye

Hivi inawezekana kweli mwamvuli ukakunjuka kijingajinga tu kisa nini? wakati akili zinawaza jinsi ya kuweka pozi la picha aaah wapi magumash tu haya kwa lipi haswa huyu damu baridi Wa sa Alichonacho cha kuamsha kitu ya mtu loh sometimes muwe mnafikiri kidogo
 
Wajingawajinga hawa waliosoma vikozi uchwara vya Computer huwa hawana kazi ya kufanya.

Weka hapa picha original ambayo haijazungushiwa hilo duara tukufundishe kwamba hapa siyo Facebook kwenye ujingaujinga wenu.
imebidi nijiulize mara mbili kwanini kazungushia hapo ,macho yake yalimvutia nini,hizi tamaa mbaya
 
Ushauri kwako Salim kikeke, nafasi yako naamini bado kabisa hujaitambua katika jamii, kweli wewe ni mtangazaji maarufu na mahiri sana hongera kwa hilo, lakini account yako ya fcbk na mitandao mingine kama ni wewe unaepost vitu au mambo au habari basi jiangalie upya, habari zako nyingine au picha haviendani na nafasi yako wala hazina maadili kabisa,
nitakukumbusha japo kimoja, siku moja ulipost kwenye ukurasa wako wa fcbk umepiga picha ukiwa Congo mtaa fulani sitautaja jina kwa sababu jina la ule mtaa kwa lugha yetu ya kiswahili ni tusi, lakini kwa kujua kwako au kutokujua wewe ulipost kwenye ukurasa wako wa fcbk sijui ulikuwa una maana gani, na mengine umekuwa sana unacopy habari za kwenye viblog vya mitaani hata habari zisizo na uhakika unaweka kwenye page yako, jirekebishe leo naishia hapa,
 
Sasa wengine ndo wameizungushia kabisa na duara hapo kuwa kadindisha. Watu wendawazimu kabisa na hii mitandao.

Jamani hata kama ni mume wa mtu, lakini Physiology na Biochemistry ipo palepale....manurotransmitters uko kwenye brain yakishakuwa stimulated hakuna jinsi......mbona kawaida sana.....tena picha yenyewe wako kwenye open and public place....hako ni kaajali tu.....haka kaupepo katapita tu..avumilie....halafu hii mbona huwatokea wengi tu..... ngoja nianze kutembea na kacamera kangu ka upelelezi....nikiona pametuma tu nabofya....mbona hapatatosha tukianza kuzipost?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom