Shida wanagegedana kwanza jamaa wakichoka,wanabadilishia gia hewaniNaona nyingi zikishaingia vidoleni zinapata hadi kutu, wadada wa3 nawafahamu mwaka wa sita huu
Sijui kwanini
Kwahiyo inabidi kuwanyima eehShida wanagegedana kwanza jamaa wakichoka,wanabadilishia gia hewani
Hivi kwanini hamuoi?Imaging aisee ikija kufikia Lulu kwisha habari yake anaanza kuhangaika aisee Majizzo achia huyo mtoto wa kichagga
Hahahaha majizo naeNaona nyingi zikishaingia vidoleni zinapata hadi kutu, wadada wa3 nawafahamu mwaka wa sita huu
Sijui kwanini
MmmmmhMkaka ana roho ngumu wakati Lulu hajabeba ujauzito. Huoni hofu iliyopo hapo
Cheti cha church ili hata 4shizo akidanja urithi anaumiliki woteNdo mke tayari sasa
haya sasa ndo nayataka...enheeeSema mke na mke!
Muda mwingine mtu anachumbia ili kuweka ulinzi ila uchumba hautakiwi kukaa miaka mingi.Naona nyingi zikishaingia vidoleni zinapata hadi kutu, wadada wa3 nawafahamu mwaka wa sita huu
Sijui kwanini
Wamekuwa wote kwa muda mrefu na bado hajapata ujauzito. Hata akiolewa situation itakuwa ni hii maana huwezi sema hawashiriki. Lulu mwenyewe alishasema anatamani kupata mtoto.Mmmmmh
Kwahiyo abebe mimba kwanza?
Nani aliuza mali za mama yake?, B dozen au Faudhia?Joanah, Nyongeza pia nadhani laana inamsumbua kwa kuuza mali ya mama yake.
Haaaaa Haaaaa 😂, umenichekeshaCheti cha church ili hata 4shizo akidanja urithi anaumiliki wote
Hata ndoa bado pia sio kila kitu. Unaweza ukaolewa na bado ikawa unatamani hata usingeolewa. Ndoa zina mengi sana.Halafu shida nyingine ni kwamba unakuta mdada analilia Pete tu kila wakati ni kulia lia huku mwanaume hajajipanga kumuweka ndani basi wanaamua kuwavalisha halafu mwanaume anapita hivi
Ukitunyima UTAMU basi hupati Mtu. Maana hakuna anayetaka kuuziwa Mbuzi kwenye Gunia.Kwahiyo inabidi kuwanyima eeh
😀😀 Zipo njia nyingi sana za kuzuia Mimba. Unaishi kama upo karne ya 6 bana. Amka aisee ni karne ya 21.Wamekuwa wote kwa muda mrefu na bado hajapata ujauzito. Hata akioelewa situation itakuwa ni hii maana huwezi sema hawashiriki. Lulu mwenyewe alishasema anatamani kupata mtoto.
Huyo mchumba labda ana wasiwasi juu ya hilo.
E Media (TV & Radio) ni kampuni ya Familia ya akina Majizo (Ciza's Family).. Angalia hata ripoti za TCRA utaona mgawanyo wa Shares (hisa) za Umiliki Kampuni yao Ulivyo.Cheti cha church ili hata 4shizo akidanja urithi anaumiliki wote
Mmmh hayo ni mambo nyeti sana mkuu, umejuaje lulu hataki kubeba mimba bila ndoa?Wamekuwa wote kwa muda mrefu na bado hajapata ujauzito. Hata akioelewa situation itakuwa ni hii maana huwezi sema hawashiriki. Lulu mwenyewe alishasema anatamani kupata mtoto.
Huyo mchumba labda ana wasiwasi juu ya hilo.
😁😂😅😄😃Huyu Dozen si nasikia ni MCHICHA PORI??
Haaaaa Haaaaa , umenichekesha
Sio kwamba hataki ila bado hajabahatika kupata. Sasa mwanaume lazima taa iwake, hii inaweza kuwa sababu ya kumfanya avute muda. Mbona Majizo ana mtoto kwa Hamisa.Mmmh hayo ni mambo nyeti sana mkuu, umejuaje lulu hataki kubeba mimba bila ndoa?