Mtangazaji B Dozen amvalisha pete mpenzi wake wa miaka mingi

Sio kwamba hataki ila bado hajabahatika kupata. Sasa mwanaume lazima taa iwake, hii inaweza kuwa sababu ya kumfanya avute muda. Mbona Majizo ana mtoto kwa Hamisa.
Na mbona hakumuoa huyo mdada sasa kama ishu ni watoto

Na sio hamisa tu, anao watoto wengi kwa mama tofauti

That's y Eliza haoni jipya
 
Nje ya mada jina la huyu binti kwa wale old timer kipindi Gadner anamuoa Jd 2001/2002 sikumbuki vizuri pale mawingu kuna demu walikuwa wanamgombea Captain alikuwa na jina kama hili ni huyu au mwingine?
 
Hata ndoa bado pia sio kila kitu. Unaweza ukaolewa na bado ikawa unatamani hata usingeolewa. Ndoa zina mengi sana.
Na kuolewa pia sio kwamba ndo umemaliza safari, Kushindwana Kupo, Michepuko ipo na Talaka pia zipo.
Hivo basi usililie Pete ya Ndoa saaaana.
Bora uvae hiyo Pete ya Uchumba kwa furaha kwa Miaka Sita, kuliko kuvaa Pete ya Ndoa yenye Majuto Kibao ila mnaogopa kuachana sababu mnahofia watu.
My point is, Pete ya Ndoa sio suluhisho na Sio kila kitu. Ndoa zina mengi.
Usiingie kwenye Ndoa kama Fashion vile kisa Rafiki zako Wengine wameingia.
KUNA TOFAUTI KUBWA KATI YA "HARUSI(sherehe)" NA "NDOA"...
Ndoa nzito, Maana Kuunganisha FAMILIA MBILI sio mchezo, maana kuna vibweka vya Ndugu wa pande zote MBILI (mashemeji, Mama Mkwe, Baba Mkwe etc.) Ukimpelekea ZAWADI Mama Yako Mzazi basi ujipange pia kupeleka ZAWADI nyingne UKWENI nako.
Ukimlipia Ada ya Shule mdogo wako, heheh! Jiandae kuna Ada nyingne ya Ukweni inakusubiri.
That's why, You need to take time ndefu kwanza kabla ya Uchumba na Ndoa ili myajenge MJUE PESA ZENU MTA-HANDLE VIPI, NDUGU etc.
Otherwise vitu vidogo vidogo kama hivyo huwa taratiiiibu vnabomoa.
TRUST ME, Uhusiano wa U-BOYFRIEND na U-GIRLFRIEND NI MRAHISI SANA KULIKO wa U-HUSBAND na U-WIFE.
Ndo maana Msitulaumu sie Wanaume tukifanya Uchumba miaka SITA 😀😀
Umeongea yote mkuu,sina la kuongeza hapa labda Wangari Maathai ataongeza
 
Umeongea yote mkuu,sina la kuongeza hapa labda Wangari Maathai ataongeza
Hujanijuaga tu shost...mie kwenye mahusiano najionaga sielewi ...yaan sielewi ..kwanza nikiona matarumbeta mwenzako nasonyaga. ...nadra Sana kuniona jukwaa la mapenzi mimi ukiniona jukwaa la mapenzi Basi jua Kuna kitu nakimiss🙃....Sasa sijui Kama naelewa kitu😀!
Nikiona mdada anajiashua ameolewa siku ya ndoa namshangaa Sana!
Nachopenda ni kitu kimoja...nataman wanawake woteee wapite labor room!
 
True love wangu ndo huyu memba kasema ndoa sio kila kitu unaweza ukaolewa ukajutraa. Hata mimi lile jukwaa natembelea mara moja kwa kwa miezi 4,
Mapenzi hayana mwalimu
 
True love wangu ndo huyu memba kasema ndoa sio kila kitu unaweza ukaolewa ukajutraa. Hata mimi lile jukwaa natembelea mara moja kwa kwa miezi 4,
Mapenzi hayana mwalimu
Love is sweet ukimpata THE RIGHT ONE na Mkaaminiana. Mkapanga Plans, mkaweka wazi PESA zenu na mkawa loyal to the plans. (When the love is mutual and unconditional).
Sema sasa, upande wa pili ni kuwa kwenye mahusiano kila MTU anaingiaga akiwa na agenda zake za siri Kiwizi wizi!! Ukilala umeliwa... CHANGU ni Cha KwANGU, ila chaKwAKE ni CHETU!!😀 cheti cha ndoa hapo ni BOGUS TREATY, kutumiana kama fursa.
Au unakuta mwanandoa mmoja ka-fall in love so deep ila mwanandoa mwingine yupo yupo tu!
😀😀😀
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom