AZUSA STREET
JF-Expert Member
- Oct 31, 2013
- 2,007
- 1,894
Naomba ku declare interest, nimetokea Iringa. Kuna mtangazaji fulani ametokea sijui ni Star tv au ITV, anaitwa Mwakalinga, alitangaza kwenye tv kwamba Iringa kuna mashoga waliojitangaza 1500.
Hakufafanua vizuri, ni mashoga wanafunzi wa Mkwawa na Tumaini, au ni mashoga raia wa mtaani?
Nimeishi Iringa, sijawahi kuona shoga. Watu wa huko hata hicho kitu kinaitwa 'tgo' kwa mwanamme au mwanamke hawajui nakuapia.
Swali ninalojiuliza, Tv ile inajisikiaje kuwa na mtangazaji ambaye hakufanya utafiti, na pengine kwa sababu yeye moyoni mwake umejaa ushoga, akapenda kuongelea hayo tu na kuutangazia umma kwamba Iringa kuna mashoga waliojitangaza 1500!
Lile shirika ambalo Mwakalinga alisema limefanya utafiti, leo hii limekana taarifa hiyo kuwa hawakumpatia taarifa hiyo, utafiti wao haukufikia conclusion hiyo, na hakuna mashoga 1500, na utafiti walioufanya ulikuwa kwa wanafunzi wa vyuoni, vyuo vya Iringa.. Sasa yeye taarifa hiyo ya utafiti aliitoa wapi, au aliifanya yeye Mwakalinga?
Kwanini waandishi wa habari wanakuwa na mfano mbaya wa kutangaza jambo ambalo hawajafanya utafiti?
Hii ni aibu kwa waandishi wa habari. habari za kukurupuka, ni watangazaji ambao wanafaa kwenda shuleni kabisa.