Mtanganyika (Mtanzania bara) anaweza kugombea ubunge Zanzibar? Katiba inasemaje?

Wataalamu wa sheria na katiba naomba mnijulishe. Hivi Mtanganyika, yaani Mtanzania bara anaweza kugombea ubunge Zanzibar? Sheria imekaaje?

Vipi Mzanzibari anaweza kugombea ubunge Tanzania bara? Hapa napo sheria na katiba inasemaje?

Wenye weledi tafadhali.
Inawezekana, mbona Sylvester Mabumba alichaguliwa kuwa Mbunge wa Donge mwaka 2010 na akawa mmoja wa wenyeviti wa Bunge waliokuwa wanamsaidia Spika Anna Makinda?

Vv
 
Kuna tofauti chache sana kati ya Arusha na Songea ukilinganisha na zilizopo kati ya Unguja na Pemba.
Mkuu sitaki kuamini kwamba hata sivics ya form one hujasoma. Ingefaa ukabainisha hizo tofauti basi
 
Inawezekana, mbona Sylvester Mabumba alichaguliwa kuwa Mbunge wa Donge mwaka 2010 na akawa mmoja wa wenyeviti wa Bunge waliokuwa wanamsaidia Spika Anna Makinda?

Vv

Sylvester Mabumba sio Mzanzibar? Nafahamu wengi pia walidhani Adam Mwakanjuki hakuwa mzanzibari.
 
Wataalamu wa sheria na katiba naomba mnijulishe. Hivi Mtanganyika, yaani Mtanzania bara anaweza kugombea ubunge Zanzibar? Sheria imekaaje?

Vipi Mzanzibari anaweza kugombea ubunge Tanzania bara? Hapa napo sheria na katiba inasemaje?

Wenye weledi tafadhali.
Domokaya muulize Hussein Mwinyi
aliwahi kuwa mbunge wa Mkuranga lakini sasa ni mbunge Zbar
 
Wataalamu wa sheria na katiba naomba mnijulishe. Hivi Mtanganyika, yaani Mtanzania bara anaweza kugombea ubunge Zanzibar? Sheria imekaaje?

Vipi Mzanzibari anaweza kugombea ubunge Tanzania bara? Hapa napo sheria na katiba inasemaje?

Wenye weledi tafadhali.
Katika hili tafadhari wasiliana na Dr Hussein Mwinyi ambaye ni waziri na ni mbunge.
 
Huu muungano una vioja. HAWEZI kugombea hata kuajiriwa serikalini hakiwezekani. Ila mbunge wa Zanzibar eg Hussein Mwinyi anaweza kuteuliwa kuwa waziri bara ila mbunge wa bara eg Mwigulu ya Chemba haiwezekani kuteuliwa kuwa waziri Znz.
Inabidi tuwabembeleze,tukifanye mchezo muungano unavunjika huu.Jamaa hawalazi damu hawa,majambia huu juu.
 
Mtanganyika (au mtanzania bara) hawezi kugombea nafasi ya ubunge Zanzibar kwa sababu ya uwepo wa sheria zinazotaka mgombea kuwa mzanzibari

Lakini mzanzibari anaweza kugombea nafasi ya ubunge upande wa Tanganyika (au Tanzania bara) kwa sababu hakuna sheria inayo lazimisha mgombea wa nafasi ya ubunge kwa majimbo yaliyopo bara kuwa ni lazima awe mbara (au mtanganyika), zaidi sheria zinasema awe tu mtanzania, na ukisema mtanzania maana yake ni pamoja na wazanzibari

Kwa kweli huu muundo wa muungano wa serikali mbili unao ruhusu wazanzibari kushika mpaka nafasi za watanganyika ni hatari kwa watanganyika wenyewe na maslahi yao kwa ujumla
bregedia ADAM MWAKANJUKI alikuwa mwakilishi na waziri huko zanzibar kwa zaidi ya miaka 15
SLYVESTER MASSELE MABUMBA Alikuwa mbunge wa DOLE ? HUSEIN MWINYI alikuwa Mbunge wa Mkuranga 2000-2015
weka kumbukumbu zako vizuri,mimi ninachojua unatakiwa uwe mzanzibri mkazi
 
Wataalamu wa sheria na katiba naomba mnijulishe. Hivi Mtanganyika, yaani Mtanzania bara anaweza kugombea ubunge Zanzibar? Sheria imekaaje?

Vipi Mzanzibari anaweza kugombea ubunge Tanzania bara? Hapa napo sheria na katiba inasemaje?

Wenye weledi tafadhali.
Huna lolote, ubaguzi tu.
 
Nakumbuka Hussein Mwinyi alikuwa mbunge wa moja ya jimbo Tanzania bara, baadaye tena akaenda kugombea Zanzibar na kupita. tuendelee tu na huu Muungano uliokaa tenge.
 
Wataalamu wa sheria na katiba naomba mnijulishe. Hivi Mtanganyika, yaani Mtanzania bara anaweza kugombea ubunge Zanzibar? Sheria imekaaje?

Vipi Mzanzibari anaweza kugombea ubunge Tanzania bara? Hapa napo sheria na katiba inasemaje?

Wenye weledi tafadhali.

Hussein Mwinyi waziri wa ulinzi na jeshi la kujenga taifa aliwahi kugombea ubunge Mkuranga na akashinda
 
Sijawahi ona watu wa hovyo kama chadema, mnataka mbowe awafanyie kituko gani ndio mpate akili?

Alimleta lowasa hasimu wenu mkubwa mumtakatishe, akamleta masha mtu mliyemwaga mboga yake kule nyamagana mkamtakatisha, sasa anamleta salum mwalimu alichowafanyia kwenye ubunge viti maalum hadi kuukosa ukatibu mkuu mnajua wenyewe, bado tu mnataka kumnadi kwenda mjengoni? Shenzi zenu!
 
Huu muungano una vioja. HAWEZI kugombea hata kuajiriwa serikalini hakiwezekani. Ila mbunge wa Zanzibar eg Hussein Mwinyi anaweza kuteuliwa kuwa waziri bara ila mbunge wa bara eg Mwigulu ya Chemba haiwezekani kuteuliwa kuwa waziri Znz.
Jeshi(jwt) ni la muungano. Na hussein mwinyi ni wazili ulinzi wa Tanzania. Mambo mengne kama hujuwi sio lazma kucoment.jitahid sana kuficha ujinga wako
 
Wataalamu wa sheria na katiba naomba mnijulishe. Hivi Mtanganyika, yaani Mtanzania bara anaweza kugombea ubunge Zanzibar? Sheria imekaaje?

Vipi Mzanzibari anaweza kugombea ubunge Tanzania bara? Hapa napo sheria na katiba inasemaje?

Wenye weledi tafadhali.
Wewe na Salum Mwalimu nani ana akili?
 
Kuna mengi ya kujiuliza! Dr Hussein Mwinyi ana sifa ya uzanzibar mkazi kama alikuwa mbunge bara kabla hajaenda Zanzibar basi hakuwa na sifa ya uzanzibar mkazi

kweye siasa za ndani huwa wanasema "sheria huwa hazitumiki kwa namna ile ile kwa watu tofauti.
Najua umekumbuka habari za "watu wote ni sawa mbele ya sheria ". Sitaki ubadili mawazo ila tafakari kwa umakini zaidi.
Inaweza kuwa sawa kwake lakini isiwe sawa kwa mwingine. Siungi mkono hili ila ndivyo ilivyo.
 
Back
Top Bottom