Mtandao wa wanafunzi TSNP waiangukia Wizara ya elimu sakata la wanafunzi Bugando

kirerenya

JF-Expert Member
Aug 27, 2013
1,696
2,251
tgnp.jpeg
 
Umdhanie huenda akawa siye. Nitahifadhi maneno, kwa hili ni sawa serikali kuhakikisha kwamba haki imetendeka, Kama serikali itashindwa basi mahakama ndiyo muamuzi, lakini hapo naona semester inakata kamba na ukiingiza na jinsi tufanyavyo mambo taratibu hawa sana sana watarudia mwaka kama issue yao itakwenda vyema.
 
Back
Top Bottom