Mtandao wa Twitter umelemazwa kwa maksudi. Nani anauhujumu? Huwezi kuutumia bila ya kuwa na VPN

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,991
17,887
Mtandao wa Twitter hapa Tanzania umelemazwa kwa maksudi. Nani anaihujumu Twitter?

Nashindwa kuelewa ni nani anaihujumu Twitter hapa nchini.

Ukiingia Twitter inakuwa slow sana mwendo wa kobe na hapo simu ina 4G, lakini ukiwasha VPN inakua fasta sana

Nashindwa kuelewa ni kampuni au TCRA au ni maagizo ya Serikali kuulemaza mtandao wa Twitter kwa sababu za kisiasa?
 
Mtandao wa Twitter hapa tz umelemazwa kwa maksudi nani anaihujumu twita?

Nashindwa kuelewa ni nani anaihujumu twita hapa nchini

Ukiingia twita inakua slow sana mwendo wa kobe na hapo simu ina 4g lakini ukiwasha vpn inakua fastaa sana

Nashindwa kuelewa ni kampuni au tcra au ni maagizo ya serikali kuulemaza mtandao wa twita kwasababu za kisiasa?
Mimi kwangu sasa haifunguki kabisa !!. Nimeidownload upya napo inakataa .

Uchaguzi umetuletea mambo
 
Yani afadhar umeniweka sawa aisee.....Yani mi mpaka nikawa napata hasira Yani jinsi twitter ilivokua inadelay kurespond....

Nadhani ni ule ule mpango wa serikali katika harakati zake za kuhakikisha nchi inakua ni Mali ya familia zao
ka hyo familia yake inaitwaje..?:rolleyes:
 
Tafuta Vpn moja inaitwa

"Thunder vpn"utakuja kunishukuru kwanza kudownload ni mb chache halaf kavpn kadogo haitumii mb hata net imekata inaendelea kukuprotect
Hata hiyo Turbo VPN iko fire Sanaa mjombaa
 
Mtandao wa Twitter hapa tz umelemazwa kwa maksudi nani anaihujumu twita?

Nashindwa kuelewa ni nani anaihujumu twita hapa nchini

Ukiingia twita inakua slow sana mwendo wa kobe na hapo simu ina 4g lakini ukiwasha vpn inakua fastaa sana

Nashindwa kuelewa ni kampuni au tcra au ni maagizo ya serikali kuulemaza mtandao wa twita kwasababu za kisiasa?
Kigogo wa Twitter ananyosha sana mfalme
 
nilikuwa sielewi mbona insta, jf, whatsapp, telegram nateleza ila twitter bado.
 
Back
Top Bottom