hahahaha we endelea kutumia huohuo unaotumiakumenoka sasa kumenoga dar au nchi nzima!
Nyumbani "kumevurunda vibaya mno" jamaa wamelala sana. Mtoa huduma wao alinieleza eti "ukitaka kutumia Internet nenda maeneo ya mjini mtandao unapatikana vizuri tu"Inapatikana vizuri katika maeneo ya mijini.
Pia kwenye hiyo miji ni vema uwe 'katikati' maana yake pembezoni hakuna network coverage nzuri.
RUDI NYUMBANI KUMENOGA.
Kwa mbeya ni uongo, mtandao wao upo vzr pembezoni mwa barabara kuu, ukitoka nje kidogo zaidi ya kilometer moja hakuna coverageWamejitahidi kusambaza maeneo mengi, kwasasa, mikoa mingi wamesogeza huduma, nadhani kinachowaangusha ni matangazo hafifu. ila mikoa kama Tarime, Mwanza, Mbeya, Iringa kote nimepita wapo.
ttcl ninayo mwanza sikuipata, kama km 3 toka mjini.Wamejitahidi kusambaza maeneo mengi, kwasasa, mikoa mingi wamesogeza huduma, nadhani kinachowaangusha ni matangazo hafifu. ila mikoa kama Tarime, Mwanza, Mbeya, Iringa kote nimepita wapo.
Nipo mbeya wilaya ya mbarali katika mji wa rujewa kilometer 10 kutoka barabara ya dar_mbeya network iko vizuri kabisa tatizo ni upatikanaji wa vocha tuKwa mbeya ni uongo, mtandao wao upo vzr pembezoni mwa barabara kuu, ukitoka nje kidogo zaidi ya kilometer moja hakuna coverage
That's good for you, mi naishi mbalizi but nikitoka nje kidogo tu kwenye shughuli zangu za kila siku not more than two kilometers mtandao unakua hamna hadi nirudi ndio napata network.Nipo mbeya wilaya ya mbarali katika mji wa rujewa kilometer 10 kutoka barabara ya dar_mbeya network iko vizuri kabisa tatizo ni upatikanaji wa vocha tu
Tarime wapo tu pale mjin pekeewadau ninaomba kuuliza,hivi ttcl mtandao wao wa internet unapatikana nchi nzima au ni dar tu! maana wanasema rudi nyumbani kumenoka sasa kumenoga dar au nchi nzima!
In rural areas nilikotembelea kwa kweli Halotel hawana mpinzani, mpaka internet....That's good for you, mi naishi mbalizi but nikitoka nje kidogo tu kwenye shughuli zangu za kila siku not more than two kilometers mtandao unakua hamna hadi nirudi ndio napata network.