Mtandao wa TIGO una gharama kubwa sana kwenye vifurushi

srinavas

JF-Expert Member
Jun 5, 2011
4,149
3,862
Habari wadau

Nakuja hapa nikileta malalamiko yangu kwa mtandao wa tigo.

Hivi majuzi wamepandisha tena vifurushi vyao vya internet na sasa badala ya kupata MB 350 kwa shilingi elfu moja. Sasa unapata MB 200 tu na kwa shilingi 500 unapata MB 70 au 50.

Sasa najiuliza. Hvi kweli kuna mtu anayeweza kununua vifurushi vya tigo kweli? Maana mm nashindwa kabisa. Au wenzangu mnatumia mtandao gani jaman mbna nawaona kila saa mpo huko instagram kwa akina mange na lemutuz.

Kwa kweli sasa huku nakoelekea najikuta ndani ya wiki moja nipo online labda mara moja au mbili.

Tafadhali nisaidieni cha kufanya

d8b52379a47c5f580bfea0ac16da836b.jpg
 
Back
Top Bottom