Mtandao wa Tigo umetupotezea timing ya fumanizi, dah imekula kwetu


M

mbagokizega

Senior Member
Joined
Oct 22, 2016
Messages
111
Likes
295
Points
80
Age
49
M

mbagokizega

Senior Member
Joined Oct 22, 2016
111 295 80
Wakuu nawasalimu.

ninalo dukuduku kuubwa nimelibeba moyoni kwa kilichotokea.wakuu ni juma moja sasa tukiwa ktk mtego wa kumtega bazazi moja linalopenda kutongoza wake za watu,ni hivii rafiki yangu alinishirikisha ktk mpango wake huu akijihadithia kwamba jamaa huyo mpangaji mwenzao amekuwa na tabia ya kumtongoza mkewe lkn mkewe huyo amekuwa akijiheshimu kiasi cha kumkanya bazazi huyo lkn alipoona hamuelewi ikambidi amshirikishe mumewe.shemeji akamuomba mumewe akaongee na huyo jamaa amkanye lkn rafiki yangu akaja kuniomba ushauri nami nkamshauri afanye kama alivyoelekezwa na Shem.

jamaa yangu alidhamiria kumtia adabu muhuni yule na akaniomba nishiriki ktk mpango wake wa kumtegea jamaa fumanizi.basi akaenda kuongea na mkewe wazo hilo kiukweli mkewe hakuwa tayari kwa hilo lkn jamaa yangu akashikiria lazima ifanyike hivyo huku akigombana na mkewe eti anamtetea sababu wanajuana.shem akanipigia kuniomba niongee na jamaa akinishuhudia kwamba ktk maisha yake ya ndoa hajawahi kumsaliti mumewe na kila majaribu yanapotokea humshirikisha mumewe lkn rafiki yangu amekuwa amuamini na sasa amempa mtihani huo wa kumtega jamaa ili anase ktk fumanizi.

jioni ya Jana ndio ilikuwa siku ya tukio kazi aliyotakiwa kufanya shemeji ni kutupa taarifa kila sekunde sababu basi tukaanza kuwafatilia tukitokea ilala sisi tukiwa ktk gari ya rafiki yetu mwengine wao wakiwa ktk tax no BQ_ T2_9 tukaendelea kuwafuata mpaka magomeni mikumi wakakata kama wanaelekea ubungo kufika usalama wakachepuka kuifuata tanesco,wakapita na njia hiyo wakatokea makanya road wakawa wanashuka nayo kama wanaelekea tandale,wakapita Oman,shule lkn wakati wanapita darajani(karibia na uwanja wa tip) sisi tulio nyuma tulikutana na foleni iliyosababishwa na gari la abiria lilikuwa likigeuza hapo huku gari nyingine zikitokea njia ya kijitonyama mpaka gari hiyo inapita tulikuwa tushaipoteza ile tax na hakuna ujumbe wowote aliopokea jamaa toka kwa mkewe akijulishwa yu wapi basi jamaa akaamua kupiga simu mtandao unasumbua simu hata kuita haiiti.

ikatubidi tutembee mwendo mdogo huku tunaangalia pande zote za barabara huku jamaa akifanya juhudi kupiga simu tena na tena lkn hali ilibaki kuwa vilevile hata nilipojaribu kwa simu yangu mambo yakawa yaleyale ikatubidi tufike mpaka sinza kijiweni tukauliza kwa madereva tax hatukupata jibu tukarudi mpaka lion hola,tukaja kuingia barabara Vatican hola tukashauliana turudi darajani hola tukarudi tena white inn ktk kituo cha tax tukaikuta ile tax no BQ_ T2_9(mda huo tayali ilikuwa ishapita lisaa na nusu hivii).

tukamkwida dereva tax tukimtisha kwamba yule jamaa ni jambazi na amekuwa na kawaida ya kuwatumia wanawake na kuwatoa uhai hivyo asipotupa ushirikiano naye atakuwa mmoja wa watuhumiwa basi jamaa akaacha gari yake akapanda ktk gari yetu tukaingia barabara hiyohiyo ya white inn mbele kabisa tukakunja kushoto tukanyoosha na kuja kutokea ktk lango la hotel ya lion tukakata kulia mitaa hiyo kuna gest inaitwa _____ jamaa akatuambia kwamba aliwaacha hapa tukamuita muhudumu naye tukamtisha vilevile akatuelekeza chumba tukavamia bwanaa

TUKAMKUTA SHEMEJI KALALA UCHIII AKIWA KAELEKEZEA PAPUCHI KTK FENI ALIVYOMUONA MUMEWE AKASHUSHA BOONGE LA YOWE LA KILIO KWAMBA MUMEWE KAMPONZA NA KUMUAIBISHA JAMAA AKAANGUKA NA KUZIRAI.

Ikatubidi tutoke nje mpaka Shem ajisitiri huku nje tukamuuliza muhudumu kuhusu jamaa aliyekuja na huyu mke wa mshkaj muhudumu akasema tulipishana kidogo alitoka kununua msosi na wakat anarud ndo sisi tulikuwa ndani hivyo alisikia yowe la Shem akasepa zake.

dah.
 
Adolph hitler jr

Adolph hitler jr

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2016
Messages
1,814
Likes
1,554
Points
280
Adolph hitler jr

Adolph hitler jr

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2016
1,814 1,554 280
Duuuuh!! unajua kutunga...
 
dyuteromaikota

dyuteromaikota

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Messages
4,116
Likes
3,637
Points
280
dyuteromaikota

dyuteromaikota

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2013
4,116 3,637 280
ahahaaa maana ukipiga hesabu huo muda jamaa alikuwa amekula bao ngapi eti? mpaka papuchi ipigwe feni?
hapo ni moja tu, tena la ndomu ndo kabisaa linaweza enda hata 2hrs
 
BAFA

BAFA

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2011
Messages
2,931
Likes
4,925
Points
280
BAFA

BAFA

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2011
2,931 4,925 280
Hhhhhhhhhh huo ni mtego ni sawa nyavu ya kuvuliwa papa eneo la dagaa matokeo yake wote wamepenya hahaha
 
Mirlz B Matthew

Mirlz B Matthew

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2011
Messages
999
Likes
1,050
Points
280
Mirlz B Matthew

Mirlz B Matthew

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2011
999 1,050 280
ukikuta manyoya jua kashaliwa dah...inauma
 
PROF NDUMILAKUWILI

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2016
Messages
7,903
Likes
8,882
Points
280
PROF NDUMILAKUWILI

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2016
7,903 8,882 280
Watu wengine wana machale huwa hawafumaniki!
 

Forum statistics

Threads 1,273,106
Members 490,295
Posts 30,471,571