Mtandao wa Tigo ni kero

Nuraty J

JF-Expert Member
Sep 18, 2018
1,729
3,829
Morning

Kiukweli Tigo jamani wanakera sana, tarehe 31 October mzee amenunua kifurushi cha tsh 2500 kwa njia ya Tigo Pesa, cha ajabu hela wamekata kwenye Tigo Pesa yake na kifurushi hajapata mpaka hii leo, kila anapopiga simu wanamuambia tatizo linashughulikiwa, ni wiki sasa, japo ni hela ndogo ila ni haki yake.

Hivi Waziri anayehusika na hii mitandao ni nani, au viongozi wa serikali wana share kwenye haya makampuni ya simu, maana yanafanya dhuluma. Tunalalamika humu kila siku lakini bado wanaendelea na usanii wao jamani.
 
Tigo unayoizungumzia tushakuelewa ..asante kwa tangazo
 
japo ni hela ndogo ila ni haki yake.
Pole sana,hela hiyo ni nyingi sana Mina,hakuna hela ndogo,sisi wafanyabiashara tunapambana kupata hata faida ya sh 2 kwenye kila bidhaa,tigo ina customers zaidi ya 10m piga mahesabu wakikwapua hizo buku kwa wateja milioni 5 tu si wana 5B?
 
we acha tu, hii mitandao kwakwel ni janga
 
naizungumzia tigo yako iyo inayoliwa na wajanja, yaan mashoga huwa mnawaza uchafu wenu mnaofanyiwa, likitajwa neno tigo makalio yenu yanavibrate kwa mshawasha mbwa nyinyi,, mi naongea kitu kingine we unawaza mabwana zako waliokuharibu

Mhhh! 🙉 Mina cute punguza hasira tafadhali. Wasamehe ikibidi.
 
naizungumzia tigo yako iyo inayoliwa na wajanja, yaan mashoga huwa mnawaza uchafu wenu mnaofanyiwa, likitajwa neno tigo makalio yenu yanavibrate kwa mshawasha mbwa nyinyi,, mi naongea kitu kingine we unawaza mabwana zako waliokuharibu
Hahaaaaaaaa umenifurahisha na hii comment
 
Buku 2 ya mzee inakuuma njoo pm nikupe hata laki.. Toto zuri kama hustahili tabu za kusumbuana na tigo kisa buku 2 njoo pm bebe
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom