Mtandao wa loss report umegoma yapata wiki sasa, nini shida?

Tarehe 06/01/2021 nilijaribu nikajaza form nikapata na control number nikalipia. Balaa likaanza kwenye kupakua taarifa.

Nikajua ni mimi tu kumbe ni system inazingua.
 
Back
Top Bottom