Mtandao wa Kikwete -Fr.Karugendo

JK bwana!! Sasa ameamua kuvaa jezi ya Real Madrid. Sijui Real Madrid wakienda Bongo watacheza na Yanga Kaunda Stadium!! Itafurahisha ikiwa ziara yake hapo Bernabeu itasaidia zaidi soka la Bongo kukua kwa ari, nguvu, na kasi mpya.
Mungu Ibariki Tanzania.
 
Hivi mwanagenzi are you real ama unacheza makidamakida? Uhusiano wa JK na jezi na issue iliyoko hapa ni upi ?
 
Mzee wa Shughuli,
JK alipokuwa njiani kwenda Havana alipitia Spain na alikwenda Santiago Bernabeu, ule uwanja maarufu wa Real Madrid, na alikabidhiwa jezi yenye jina lake. Makamu wa rais wa Real Madrid akamwambia kuwa timu yake itatembelea Tanzania kama si mwaka huu, basi mwakani.

Suala la JK kutembelea Real Madrid unaweza ukalichambua kwa mitazamo mbalimbali. Wengine walisema anatafuta "popularity", wengine wakasema inasaidia kuitangaza Tanzania katika soka, na pengine kama Real watakuja Tanzania bila shaka watatembelea vivutio vyetu vya utalii, hivyo kusaidia kukuza sekta hiyo nchini. Unaweza kuhusisha ziara hiyo na "Mtandao wa Kikwete" pia, ambayo ndiyo mada tuliyonayo, kwamba mtandao wake ni mpana ndani na nje ya nchi, ukiwa pia katika maeneo kama kandanda. We' unaonaje?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom