Mtandao wa Internet TTCL unahujumiwa?

ikigijo

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
1,821
1,874
Habari Wakuu naomba Kuuliza Imekuwa Muda sasa na Mara nyingi kuona Mtandao wa Intenet wa TTCL kupotea au Kuwa na Speed ndogo mnoo hata kwa siku 2 mfululizo huku Mitandao mingine ya mashirika Binafsi ikipeta, na Bahati Mbaya sijui hakuna Operesheni manager au Mtu anaemonitor hili?

Au hakuna wa Kuogopwa?

Mbaya sana hii.
 
Una tatizo gani ndugu mteja?

Nineuliza watu zaidi ya 4Sehemu tofauti wanaitumia Mtandao wa Internet TTCL uko Chini Mnooo Tangu Jana,Ni Either unahujumiwa kwa sababu za Kibiashara au Kuna Tatizo,Makampuni Mengine ya Mtandao hii Kitu ikitokea tuu...Utaona Meseji za Samahani zinakuja na wanakutaarifu kuwa kulikuwa na Tatizo Wako Kibiashara zaidi,Lakini TTCL no body cares!
Ahsante Mhudumu wa TTCL japo wewe umenisikiliza
 
Tuna laaaana Mkuu. Hata TANESCO nako Ukataji wa Umeme umeshamiri ili mradi tu tununue mafuta na Majenereta.
Kule ATCL njia ya kwenda Arusha safari ya Masaa 12 enzi za Hapa kazi tu kwa sasa ni Masaa 20 ili abiria wahamie kwenye Kilimanjaro Express. Kule Bandarin waulize wajuvi taarifa rasmi utapata. Anyway vumilia Mkuuu ndivyo Watanzania tulivyo siku zote.
 
Nineuliza watu zaidi ya 4Sehemu tofauti wanaitumia Mtandao wa Internet TTCL uko Chini Mnooo Tangu Jana,Ni Either unahujumiwa kwa sababu za Kibiashara au Kuna Tatizo,Makampuni Mengine ya Mtandao hii Kitu ikitokea tuu...Utaona Meseji za Samahani zinakuja na wanakutaarifu kuwa kulikuwa na Tatizo Wako Kibiashara zaidi,Lakini TTCL no body cares!
Ahsante Mhudumu wa TTCL japo wewe umenisikiliza
Bodi ingeajiri tu private marketing firm iendeshe kazi zao nadhani tungeona wakipiku kampuni nyingi sana maana wangelipwa kulingana na milestones. Ila hawa wanaojua mshahara upo whether kampuni ina faida au hasara usitegemee itakua na ufanisi.
 
Back
Top Bottom