Mtandao wa Instagram kurudi kama zamani,timeline kuwa kwny order

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,482
20,426
Mtandao wa Instagram kurudi kama zamani,posts zinakuwa zinapangwa kuanzia ya kwanza mpaka ya mwisho, chronological order. Nini maoni yako mtumiaji wa mtandao huu?.
IMG_20180327_193449_262.jpg
 
Nilitaman wafungie account za wadada wanajiuza wazi wazi na wale wenye page za madangulo
 
Back
Top Bottom