Mtandao wa IFM wahujumiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtandao wa IFM wahujumiwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mwanamapinduko, Jun 14, 2011.

 1. mwanamapinduko

  mwanamapinduko Senior Member

  #1
  Jun 14, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 174
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wadau nimejaribu kuingia kwenye mtandao wa IFM ili kucheki mambo ya waliochaguliwa kujiunga na chuo lakini nikapelekwa kwenye mtandao wa start logic na wanasema this site has been suspended. Wenye taarifa zaid mtujuze, je hawa Ifm wanadaiwa na hawa jamaa wa start logic?
   
 2. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,356
  Likes Received: 388
  Trophy Points: 180
  Nenda chuoni moja kwa moja achana na haya mambo ya mitandao,utakosa chance ya kujiunga!
   
 3. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #3
  Jun 14, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Ni ushauri bora kabisa. mambo mengine hatuyawezi bado.
   
 4. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #4
  Jun 14, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  wewe nenda chuo kabisa mana mambo ya namna hyo hayajaanza jana wala nini wewe nenda kakomae chuo
   
Loading...