OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,191
- 103,715
My Take
Serikali inawajibika kutoa ufafanuzi juu ya jambo hili. Ni kweli hakuna maambukizi mapya wala vifo vipya? Serikali iseme ukweli wa Mungu-msema kweli mpenzi wa Mungu.
Zipo tetesi zinaendelea kila dakika kuhusu maambukizi mapya hususani Dar es Salaam na vifo kadhaa kuhusishwa na "changamoto ya kukosa pumzi". Lakini hatujasikia waziri akitolea ufafanuzi juu ya jambo hili.