Mtandao wa Airtel umekuwa-down Siku Tatu Sasa, Ni Kwa nini?

eedoh05

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
632
234
Huku kwangu Mbezi Kimara mtandao uliokuwa faster kuliko yote ulikuwa ni airtel. Cha ajabu siku tatu hizi, je na kwenu pia? Sababu inaweza kuwa nini?

Mwanzoni nilikuwa natumia modem ya Vodacom ambayo kwa kutumia Join Air Software nikawa natumia pia SIM za mtandao wowote Tanzania. Hatimaye nikanunua modem ya Airtel nikitataraji speep itakuwa ni ile ile. Kumbe imekuwa kinyume chake.

Naomba maoni yenu wataalam na wazoefu wa hizi modem na mtandao wa Airtel.
 
Hata mimi napata tatizo hilo..Hata ku-connect ni shida,hili tatizo ni mwezi sasa inaendea kwani zamani airtel ilikuwa fasta...
 
Back
Top Bottom