Mtandao wa Airtel ninyi siyo wezi? Huduma zenu mbovu sana

Fundi Madirisha

Senior Member
Jun 30, 2020
184
987
Huu mtandao umekuwa wa ajabu sana. Watu wanatuma Miamala sms hazirudi kwa wakati, wananunia LUKU sms hawazipati, Internet yao ni weak kupita maelezo. Mbaya zaidi customer care services simu zao hazipatikani kabisa.

Mtando umekuwa wa hovyo sana, huku ni kupoteza wateja. Kama kuna tatizo la kiufundi mnashindwa nini kutoa taarifa kwa uma?
 
Airtel kweli wamekuwa matapeli,hata mimi nilinunua LUKU adi sasa sijapata sms nikipiga customer care naambiwa haipatikani.Hovyo sana
 
Hawa Mimi niliwaona WA ajabu baada kuripoti namba fulani fulani zilizokuwa zinatuma SMS za utapeli lkn matokeo yake wakafunga line yangu kwamba haijasajiriwa, nilazimika kukaa bila mawasiliano Kwa 48 baadae ndo wakafungua, nilitamani kuwashitaki lkn baadae nikaona isiwe taabu
 
Huu mtandao umekuwa wa ajabu sana. Watu wanatuma Miamala sms hazirudi kwa wakati, wananunia LUKU sms hawazipati, Internet yao ni weak kupita maelezo. Mbaya zaidi customer care services simu zao hazipatikani kabisa.

Mtando umekuwa wa hovyo sana, huku ni kupoteza wateja. Kama kuna tatizo la kiufundi mnashindwa nini kutoa taarifa kwa uma?
They have wost internate service has never seen it in the world
 
Huu mtandao umekuwa wa ajabu sana. Watu wanatuma Miamala sms hazirudi kwa wakati, wananunia LUKU sms hawazipati, Internet yao ni weak kupita maelezo. Mbaya zaidi customer care services simu zao hazipatikani kabisa.

Mtando umekuwa wa hovyo sana, huku ni kupoteza wateja. Kama kuna tatizo la kiufundi mnashindwa nini kutoa taarifa kwa uma?

Wanazingua sana
 
Wanarudisha pesa zao walizopoteza data zilipozimwa Oktoba 2020
 
Airtel ni mtandao w kisenge sijawah ona, sishaur kabisa mtandao w hovyo Sana , unaweza piga customer care sku nzima smu inaita tuuu, unaweza mtumia mtu pesa alaf sms isirudi , jamaa akizingua inabd umpe pesa yake, baada ya dk ishirini SMS inaingia kuwa umetuma hela , na jamaa kama hamjuani ndo imekula kwako, sjui hata Wana option ya kusitisha muamala?? Ukipiga customer care ili wazuie hyo pesa simu inaita tuuu, Vodacom na tgo wapo systematically , yaan SMS isipoingia pande zote mbili mtumaji na mtumiwa automatically to muamala unasitishwaa
 
Hawa Mimi niliwaona WA ajabu baada kuripoti namba fulani fulani zilizokuwa zinatuma SMS za utapeli lkn matokeo yake wakafunga line yangu kwamba haijasajiriwa, nilazimika kukaa bila mawasiliano Kwa 48 baadae ndo wakafungua, nilitamani kuwashitaki lkn baadae nikaona isiwe taabu
Dawa yao ni kuwakimbia
Nalog off
 
Niliunga kifurushi wakanipa na mb500 aseee katika matumiz yangu naimani sikuzidisha hata 250mb.. ila walipita nazo zoote.. ntajaribu tena nione uhalali wao.. ttcl baba lao
 
Mimi niliamua kuitupa line yao, unajiunga bandle gb1 usiku huitumii lkn asubuhi saa 12 inaingia msg umetumia 75% ya bandle yako, unawapigia customer service hakuna wanachoongea zaidi ya usenge tu, mm nikakausha but iliponitokea zaidi ya mara mbili nikawapigia customer service kwamba sitaki maneno bali nimewapigia kuwaambia kwamba line yao naitupa asubuhi hiyo na kweli nikaikatakata tupa kule mpk leo sitaki kabisa line yao, japo mitandao mingine ina changamoto zake lkn Airtel baba lao kwa wizi na uhuni.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom