Mtandao wa Airtel mbona sms hazinifikii nikitumiwa

Salt Bae

Senior Member
Jan 9, 2019
140
196
Wana MMU kwa wanaotumia airtel kuna tatizo la sms unazotumiwa kuchelewa au kutofika kabisa ni kwangu peke yangu au hadi kwenu?
 
Kasome tena terms and conditions za airtel suala hilo la sms limezungumziwa kiundani inshort ni technique error hiyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom