Mtandao mpya wa mawasiliano waja, kuanza september 2011 ni VIZADA NETWORKS.....

VIKWAZO

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Messages
1,909
Points
1,225

VIKWAZO

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2011
1,909 1,225
[SatNews] At a recent customer launch seminar, new services have been revealed...

Vizada Networks will unveil new connectivity services based on the implementation of a sophisticatediDirect hub at its established facility in the capital city of Dar es Salaam, Tanzania, Africa. The cost-effective services made possible by the new hub will be based on the leading satcoms and telecommunications specialist's next generation shared connectivity solution, Viznet Dynamic, and are designed to enable reliable Internet connectivity to and from towns and villages in Tanzania and along the east coast of Africa, where terrestrial telecoms may be unreliable or non-existent.

The new Viznet Dynamic services are primarily aimed at organisations and businesses having branches in the Eastern Africa region who want to connect to Dar es Salaam, directly. Using iDirect DVB-S2/ACM satellite technolog,y in addition to Vizada Networks' proprietary technology, Viznet Dynamic delivers a secure, reliable broadband connection regardless of location or local environment. Viznet Dynamic's general satellite-based connectivity enables Internet access and the use of VPNs within a private shared network. It offers guaranteed high-speed and burst capability, but with the cost effectiveness of a shared platform. The service uses small Ku-band antennas (starting at 1.2m) that are quick and easy to deploy and require low upfront investment in equipment.

The new services for Tanzania and east coast Africa may be used as a reliable primary connection or dependable, cost-effective solution to enhance terrestrial networks. They feature advanced iDirect group QoS and Vizada Networks' industry-leading bandwidth management systems as an extra layer to improve performance and user experience even further. To ensure reliability and availability for all users, the service provides 100 percent guaranteed Committed Information Rate (CIR), guaranteed maximum contention based on the service plan and a Maximum Information Rate (MIR) that is fairly distributed to all users through the Fair Use Policy. Vizada Networks will offer strict Service Level Agreements (SLA) and bandwidth visibility through its proprietary QoS system, which provides very detailed monitoring of bandwidth usage including data rate monitoring for IP address, protocol, VSAT terminal, group of terminals and network in addition to the monitoring of trends. The new Viznet Dynamic services, which also offer an unlimited amount of throughput each month, so the bandwidth and speed is always available to users, will go live in September.

soma zaidi hapa http://www.vizadanetworks.com/images/files/ps-viznet-dynamic-lr.pdf
 
Ben Mugashe

Verified Member
Joined
Oct 9, 2008
Messages
991
Points
250

Ben Mugashe

Verified Member
Joined Oct 9, 2008
991 250
Vikwazo thanks for the information but as far as i know TZ biashara ya sattelite sio deal tena maana we are connected VIA fibre cable to London so ukitaka kudeal na VSAT tena ya KU band (1.2 dish) utalia nalo sana. Maana mvua kidogo tu imeishaanguka na footprint yao ikoje? itacover all TZ? je wamecompare cost za dish na wireless (WIMAX) radio? especially Mjini?... Mimi mdau sana wa haya mambo so tuelimishane zaidi
 
Mutensa

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2009
Messages
426
Points
195

Mutensa

JF-Expert Member
Joined Feb 20, 2009
426 195
Ndhani VIZADA si mpya kwa Bongo!
Pia satellte hailipi tena. Cost/MBps inakuwa juu sana kulinganisha na fiber.
Anyways,
kuna biashara unaweza kujiingiza ili utafute "umaarufu" zaidi kuliko faida.
 
kusema kweli mimi sio muhusika wa hii kitu, ila jamaa kwenye web yao wanasema ni cost effective ,
wakuu biashara ya dish bado hiko hata dunia ya kwanza tatizo laweza kuwa ubora wa dish unayotumia lakini kua hawa jamaa wa SKY kama mmewasikia wanatumia DISH na wako ulaya lakini TV zao zinakuwa supplied kwa njia ya DISH na wako mbona mbaya kuliko haya cable,

hao VIZADA wanapatikana hapa Vizada Networks... New Connectivity In Tanzania (SatCom) : Satnews Publishers
 
VIKWAZO

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Messages
1,909
Points
1,225

VIKWAZO

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2011
1,909 1,225
wakuu jamaa watakuwa wamefanya research sidhani kama wameingia kichwa kichwa,
na walengwa wao ni vijijini, ni hakika kwa coverage yao kama walivyosema hapo juu wengi tutaamia huko,
in short wanaka cover nchi nzima, september sio mbali
 
nguvumali

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2009
Messages
4,891
Points
1,250

nguvumali

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2009
4,891 1,250
VIKWAZO, lakini hebu rudi inijuze, kuna utofauti gani kati ya mitandao inayotupa leo service ya Internet ya technologia wanayokuja nayo VISADA, kwanini niache kutumia Voda kama internet provider wangu niamie huko, what is so special ?
 
VIKWAZO

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Messages
1,909
Points
1,225

VIKWAZO

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2011
1,909 1,225
Vikwazo thanks for the information but as far as i know TZ biashara ya sattelite sio deal tena maana we are connected VIA fibre cable to London so ukitaka kudeal na VSAT tena ya KU band (1.2 dish) utalia nalo sana. Maana mvua kidogo tu imeishaanguka na footprint yao ikoje? itacover all TZ? je wamecompare cost za dish na wireless (WIMAX) radio? especially Mjini?... Mimi mdau sana wa haya mambo so tuelimishane zaidi
mkuu kama nimeelewa vizuri swali lako ni kwamba wewe uta conncet kwenye super computer zao, lakini wao watakuwa connceted kwenye hiyo cable to london,
this is new
 
VIKWAZO

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Messages
1,909
Points
1,225

VIKWAZO

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2011
1,909 1,225
VIKWAZO, lakini hebu rudi inijuze, kuna utofauti gani kati ya mitandao inayotupa leo service ya Internet ya technologia wanayokuja nayo VISADA, kwanini niache kutumia Voda kama internet provider wangu niamie huko, what is so special ?
speed mkuu na ghamala, tungo je hizi week mbili zinazokuja wote mtajikuta huko, ghalama za voda au tigo kuwa juu sababu ziko wazi ni kwamba kila kampuni ina minara kila kona, inakula umeme, security, toza na maintainance hawa haitaji huo uchafu kumbu ghalama analipa mlaji
 
Forum statistics

Threads 1,355,629
Members 518,708
Posts 33,114,249
Top