Mtamlaumu bure Makonda. Laiti mngelijua mlipasalo kunena

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,652
14,247
Nzi ni mmoja wa wadudu ambao hawana sifa nzuri katika maisha ya binadamu. Mdudu huyu ambaye haumi hata kidogo zaidi ya kupiga kelele na kutua kwenye uchafu amekuwa na madhara makubwa kwa binadamu kuliko nyuki.

Waswahili wanasema inzi angecha ujinga angetoa asali. Mimi sijawahi ona inzi hata ana dalili za kutoa utomvu acha asali.inzi hawezi acha ujinga.sababu ujinga ndo yeye.

Anapotua inzi huacha vijidudu vya magonjwa.na watu wengi huchukia tabia za inzi za kubeba uchafu huko na kuleta kwenye vyakula.anapotua kwenye chakula utamwona akipukutisha uchafu ulioko mikononi mwake na miguu mwake.

Anasema "natoa uchafu wa mbele na natoa uchafu wa nyuma" halafu ataondoka kwa furaha.

Inzi huwa hana mvuto.hata ukiwaona wale wenye rangi ya kijani au blue inayometa meta.watoto huwaita inzi wa kizungu.bado usidhani huyo atependwa au kuheshimiwa.sababu wanadamu wastaarabu wanajua inzi huo kavaa joho zuri lakini tabia yake ni ile ile ya uchafu.

Nasisitiza INZI HAWEZI ACHA UJINGA AWE KAMA NYUKI AU ATOE ASALI. inzi siku zote atatoa uchafu na kuchafua hali ya hewa. Usije ukadhani eti inzi akivaa joho zuri atakuwa na akili.azitoe wapi? Inzi hawezi acha ujinga sababu ujinga ndio inzi mwenyewe.

Mwacheni Makonda anene yaujazayo moyo wake. Mlipaswa kujikitika kwenye mambo ya msingi.mwacheni makonda awe makonda.
 
Nasisitiza INZI HAWEZI ACHA UJINGA AWE KAMA NYUKI AU ATOE ASALI. inzi siku zote atatoa uchafu na kuchafua hali ya hewa.usije ukadhani eti inzi akivaa joho zuri atakuwa na akili.azitoe wapi?inzi hawezi acha ujinga sababu ujinga ndo inzi mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waswahili wanasema inzi angecha ujinga angetoa asali. Mimi sijawahi ona inzi hata ana dalili za kutoa utomvu acha asali.inzi hawezi acha ujinga.sababu ujinga ndo yeye.

Anapotua inzi huacha vijidudu vya magonjwa.

Nasisitiza INZI HAWEZI ACHA UJINGA AWE KAMA NYUKI AU ATOE ASALI. inzi siku zote atatoa uchafu na kuchafua hali ya hewa.

Usije ukadhani eti inzi akivaa joho zuri atakuwa na akili.azitoe wapi? Inzi hawezi acha ujinga sababu ujinga ndio inzi mwenyewe.

Mwacheni Makonda anene yaujazayo moyo wake. Mlipaswa kujikitika kwenye mambo ya msingi.mwacheni makonda awe makonda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waswahili wanasema inzi angecha ujinga angetoa asali. Mimi sijawahi ona inzi hata ana dalili za kutoa utomvu acha asali.inzi hawezi acha ujinga.sababu ujinga ndo yeye.
Labda unaongelea hawa nzi wajinga.

Msikie mbali "Black Soldier Fly' mkuu. Huyu anatengeneza mamilionaire wa pesa halisi. Na huu ni mwanzo tu!

Wenye kutaka kuchangamkia fursa hii, hasa vijana na digrii zao wanaoshinda kwenye vijiwe...
 
Anapotua inzi huacha vijidudu vya magonjwa.na watu wengi huchukia tabia za inzi za kubeba uchafu huko na kuleta kwenye vyakula.anapotua kwenye chakula utamwona akipukutisha uchafu ulioko mikononi mwake na miguu mwake.
Hapa umechokoza akili kuanza kuchemka.

Sijasikia nzi akishutumiwa kueneza corona, vipi?
Kwa sababu wataalam wetu hawana nyenzo za kuwaruhusu kufanya tafiti, hata ndogo kama hii, na kuweka machapisho ya uchunguzi wao na dunia ikajua?

Kule majuu nzi sio wengi, na mara nyingi huonekana wakati wa joto. Kwa hiyo wao nzi kwao sio mhimu katika tafiti zao za magonjwa kama hili.
Inzi huwa hana mvuto.hata ukiwaona wale wenye rangi ya kijani au blue inayometa meta.watoto huwaita inzi wa kizungu.bado usidhani huyo atependwa au kuheshimiwa.sababu wanadamu wastaarabu wanajua inzi huo kavaa joho zuri lakini tabia yake ni ile ile ya uchafu.
Akili ikiendelea kudadisi:

Pamoja na kwamba tunao nzi wengi, tunawatupia lawama tu bila ya kudadisi tunawezaje kuwatumia kwa faida.

Baadhi ya hawa nzi ni chanzo bora kabisa ya kuzalisha 'protein'; hata ya kulisha kuku tu au kufuga samaki!
Na hata kutengeneza uji wa watoto kwa lishe! Haya sasa tapika ukitaka.

Tusimlaumu sana nzi (simzungumzi huyo mpubavu mlengwa), tujilaumu sana kwa vichwa vyetu kulala usingizi wa pono siku zote. Hatujihangaishi kamwe!
 
Back
Top Bottom