Mtamkie X wako neno lolote hapa

waOLDmoshi

JF-Expert Member
May 20, 2018
876
1,000
Oohoo
Pamoja na kuwa mchepuko wa njemba ile tena yenye mke na watoto wawili ex wangu wewe bado nakupenda sana. Utamu uliokuwa unanipa sijawahi kuupata kwa mwingine and overall you are a good human being and a true friend. Naamini tutarudiana tu. Mungu Aendelee kukubariki na kukulinda best
Mapenzi yanamfumba macho mtu mzima.
 
Issuna

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
3,131
2,000
Will take me countless years to forget you

A man that will marry you will be lucky

You’re great, but too bad I’m not the lucky one to have you (because I’m not into you, or ur not into me)

Happy to see you happy with your new relationship..Hope u'll make it with him.
 
Date20210317

JF-Expert Member
Nov 7, 2018
3,863
2,000
Maisha mema.
Leo nilikukumbuka maana kitambo sana nikaona isiwe tabu ngoja nikufanyie suprise kuja hapo bank kwenu branch ya makubusho.
Nilikua kwenye service line kama mteja wa kawaida ikafika zamu yangu nikasubur kuhudumiwa na ww .Kwakua sikua na lolote zaid ya kukuona tu tukaishia kupiga stori dakika kama 5 hiv wengine wakidhan mm ni mteja.
Ila ulipendeza sana leo na short hair style yako pia umepungua kidogo.
Maisha mema ....
 
hewizet

JF-Expert Member
Mar 17, 2013
2,245
2,000
namwambia ivi...
20190830_214309png.jpeg
 
Heaven Sent

JF-Expert Member
Sep 27, 2013
23,508
2,000
Dear eksi!
Kuna kipindi natamani wewe ndo ungekuwa baba watoto wangu hapo baadae!

Ahadi nilokupa kwamba nitakuwa happy ilikuwa uongo kabisaa, nakutakia kheri na baraka tele wewe na familia yako!

Nakuombea kila iitwapo leo najua na wewe unaniombea pia!
Aunt; it's going to be well; have faith. Your latter glory shall be greater than the former. Hadi nimetamani kujua nini kilitokea.

Afu ndo ikawaje ukanidanganya siku hiyo; nimekusubiri inbobo wapi
 
Heaven Sent

JF-Expert Member
Sep 27, 2013
23,508
2,000
Sex is surely deceitful; it blinds us
Pamoja na kuwa mchepuko wa njemba ile tena yenye mke na watoto wawili ex wangu wewe bado nakupenda sana. Utamu uliokuwa unanipa sijawahi kuupata kwa mwingine and overall you are a good human being and a true friend. Naamini tutarudiana tu. Mungu Aendelee kukubariki na kukulinda best
 
zacha

JF-Expert Member
Feb 28, 2009
1,131
2,000
Dear eksi!
Kuna kipindi natamani wewe ndo ungekuwa baba watoto wangu hapo baadae!

Ahadi nilokupa kwamba nitakuwa happy ilikuwa uongo kabisaa, nakutakia kheri na baraka tele wewe na familia yako!

Nakuombea kila iitwapo leo najua na wewe unaniombea pia!

Nimependa vidole vyako

Ingawa kidonda chako sijakielewa
 
Hornet

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
23,694
2,000
Pamoja na kuwa mchepuko wa njemba ile tena yenye mke na watoto wawili ex wangu wewe bado nakupenda sana. Utamu uliokuwa unanipa sijawahi kuupata kwa mwingine and overall you are a good human being and a true friend. Naamini tutarudiana tu. Mungu Aendelee kukubariki na kukulinda best

Dizaini kama unamwongelea mama G
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom