Mtambuzi mimi, tabia yangu mbaya iliniletea kisirani...!

Cantalisia na wenzako msije mkachangia hii maneno, nitawaachia radhi mtembee makalio nje............... LOL

Hahahaha!kwa mkwara huu camin km umeacha hako kamchezo,ngoja kesho nije hm na shost wangu mmoja analimzigo la kinyamwez na mavaz yake ni skin jins niprov lol!ila hapa km ni baba mmmh,ujana umemsababishia athar kubwa!
 
Huyu baba yetu jaman natafuta mtu atakaeweza kumtoa huyo pepo wa downstea maana anabadili stail ya vituko tu!

Unaweza kumuuza! Kuna dogo nilimkuta kavaa tshirt! For sale, my parents, buy one, get one free... Haya weka tangazo umuuze huyu dingi
 
Kupenda mpira kupita kiasi,yaani primia ligi ikianza weekend ndo huonekani nyumbani mpaka ligi iishe,kha!
 
mimi mbaya yakuchungulia simu zake du nimejitahidi nimeshindwa akitoka tu au anaoga mimi nafanya scanning fasta hahahahah ila siku hizi naweza kaaa hata siku mbili tatu ila nikihisi kitu du narudia tena
 
Kweli hii nayo ni tabia mbaya.............. Mie mwenyewe hapa mama Ngina kanikodolea macho kwa hasira. maana ananisemesha hata simjibu, niko bize na JF :typing:

angalia mama ngina asikunyime naniliu......

Kiukweli inabiki kupunguza/kuacha maana shemeji yako kuna siku ananiuliza unachati na nani? Loh....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom