Mtambuzi mimi, tabia yangu mbaya iliniletea kisirani...! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtambuzi mimi, tabia yangu mbaya iliniletea kisirani...!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mtambuzi, May 31, 2012.

 1. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #1
  May 31, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Inatokea mtu anakuwa na tabia mbaya na anajua kabisa kwamba tabia hiyo itamletea dhahama au itamuua, lakini yumo tu, inamtesa na hataki kuiacha kabisa, hata akionywa na kupewa mifano mingi ya majanga yanayowapata watu wenye tabia kama hiyo, yeye kila siku anaahidi kuwa ataacha lakini haachi na anaendelea nayo tu...........!
  Mimi mwenzenu nilikuwa na tabia mbaya ambayo ilikuwa ikiniletea kisirani kwa Mama Ngina miaka kumi iliyopita lakini nikaipatia tiba baada ya kwenda kwa washauri wa kisaikolojia mpaka nikaiacha. Tabia yenyewe ilikuwa ni ya kuwa na shingo feni. Jamani ilikuwa asikatize binti mwenye kikalio na kihipsi cha kiushkaji, [​IMG]lazima nisuuze macho hata kwa kuibia ibia. Mama Ngina akapiga kelele wee, mpaka nikaamua kutafuta tiba na sasa nimekuwa huru, hata nione mwanamke mwenye kalio la namna gani wala hainishtui.......
  Hebu wana JF wenzangu fungukeni, ni tabia gani mbaya mlizo nazo na mnashindwa kuziacha kabisa, huenda tukashauriana hapa na kupeana tiba.................!
   
 2. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #2
  May 31, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Cantalisia na wenzako msije mkachangia hii maneno, nitawaachia radhi mtembee makalio nje............... LOL
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  mmmmmmmmh sijui
   
 4. Asnam

  Asnam JF-Expert Member

  #4
  May 31, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 4,268
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 135
  mmmmmh mbona umeanza kutuchimba biti kabla hatujaanza mbwembwe zetu kulikoni,ila thanks to God kama umeacha manake hata yule dada wa kazi ulikuwa unatupia jicho mpaka kero.
   
 5. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #5
  May 31, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  BADILI TABIA - Hujasema ni tabia gani mbaya huwa inakuletea kisirani lakini hutaki kuiacha?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Asnam

  Asnam JF-Expert Member

  #6
  May 31, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 4,268
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 135
  dua la kuku halimpati mwewe kamwe.:whoo::whoo:
   
 7. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #7
  May 31, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Asnam kama nisingeacha labda mama Ngina yangemshinda, maana ilikuwa kero kweli....Ila kuna siku moja moja huwa napitiwa kwa bahati mbaya lakini.................LOL
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #8
  May 31, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  ndo natafakari, sijui tabia gani.....
  Subiri baba naniliu arudi nimuulize
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #9
  May 31, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Wewe utakuwa wa kwanza kutembea makalio nje...............!
   
 10. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #10
  May 31, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Haiwezekani usiwe unajua tabia yako mbaya ambayo aidha inakukera wewe mwenyewe au wenzako walio karibu na wewe..... Inaweza ikawa kupenda sana umbeya, kupenda sana kusengenya, kupenda sana kuangalia tamthilia mpaka unaunguza mboga, inawezekana ikawa ni kunywa pombe kupita kiasi, inawezekana kuvuta sigara..... Nakadhalika
   
 11. Mapi

  Mapi JF-Expert Member

  #11
  May 31, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 6,871
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  kukasirika hadi sehemu nazotakiwa kufurah
   
 12. Asnam

  Asnam JF-Expert Member

  #12
  May 31, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 4,268
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 135
  mweh haitatokea mi mtoto wa madila.
   
 13. Asnam

  Asnam JF-Expert Member

  #13
  May 31, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 4,268
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 135
  mi nishauri nikiwa sina hela nakasirika ovyo hadi sehemu zisizotakiwa.
   
 14. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #14
  May 31, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  labda kupenda sana jf?
   
 15. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #15
  May 31, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Kweli hii nayo ni tabia mbaya.............. Mie mwenyewe hapa mama Ngina kanikodolea macho kwa hasira. maana ananisemesha hata simjibu, niko bize na JF :typing:
   
 16. Asnam

  Asnam JF-Expert Member

  #16
  May 31, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 4,268
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 135
  naomba asikukaribishe mezani ukome
  :israel:
   
 17. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #17
  May 31, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,120
  Likes Received: 6,600
  Trophy Points: 280
  Ngoja waje wanao waone maujanja ya dingi wao ndo tujue pa kuanzia.
   
 18. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #18
  May 31, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Tupe kwanza hiyo tiba ndio tujimwage. Ulipewa tiba gani mpaka mdada,hata akiwa na......cha aina gani hustuki.
   
 19. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #19
  May 31, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  duuuuuuuuuu!baba ngina wa ukweeeee!!!unafuguka leo baada ya kuchunwa vya kutosha.
   
 20. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #20
  May 31, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Napiga sana chabo, nilienda kwa Mtume Nabii akaniambia eti nina Jini Machabo...
   
Loading...