MTAMBUZI jana nimetimiza miaka MITANO tangu nijiunge na JAMII FORUM...

Mtambuzi hahahahaha

Ngoja niwatume vijana wangu wa IT wakugeuze hicho kichwa watu wakuone.
 
Last edited by a moderator:
Hata hivyo ninalo ombi moja kwa wadau wa humu JF.

Kama kuna mtu yeyote mwenye ushauri au changamoto kuhusiana na mada zangu naomba auweka hapa ili niweze kujua kama kuna mapungufu ambayo natakiwa kuyafanyia kazi.

Ahsante

Mtambuzi

Hicho ndio kinachomtofautisha Mtambuzi na wengine. Nimeiweka hiyo picha kwenye ile software yetu ya inteligensia iniambie watu wa aina hii ni watu wa aina gani.....huwa unanifurahisha sana mkuu. Be blessed!
 
Last edited by a moderator:
ingekuwa ukikaa jf miaka mitano inabidi ugombee miaka mitano mingine sasa hivi ungepata upinzani mkali sana kutoka kwa boss na wadau wengine.
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana sana Mkuu,unastahili pongezi,pia ni umri wa mtu huo,experience hiyo ni kubwa sana hasa ktk masula ya kijamii,yaani social issues,pia hata political awereness.humu ni shule ya maarifa kama mtu ana nia
 
Hakika kaka mkubwa miaka mitano ni muda mrefu sana...hongera sana na nimejaribu kuikuza picha yako hapa chini...

attachment.php

hongera Mtambuzi ....ila hii picha kidogo ufanane na Dr. Mlinga....
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom