Mtambo wa umeme wa 132kv unaokwenda njia ya kakobe umelipuka jana

Mwamakula

JF-Expert Member
Nov 7, 2010
1,890
382
Mtambo uilopo karibu na nguzo namba moja zinazo peleka umeme wa 132kv umelipuka jana asubuhi na kusababisha dsm kukosa umeme . Badra masoud alisema dsm iliathirika kutokana na kulipuka kwa mtambo huo saa moja asb
 
Kakobe atapandisha pressure kwa kuwa madai yake juu ya athari ya kupitisha hapo ilipuuzwa
 
Back
Top Bottom