Mtambo wa kuendesha mashine ya kunyolea bila uwepo wa umeme wa TANESCO ni mkombozi kwa wajasiriamali wa saluni za kunyoa

Dah! Mzee tuingie ubia hapo REA kaanza kutapakaa ila naimani tutauza pia bei jaribu kupunguza nifanye iwe affordable kidogo
 
Kuna mdau ameuliza hapo je vipi kuhusu majira ya mvua ambapo jua hupatikana kwa shida, mashine ufanyaji kazi wake ukoje?
 
Kuna mdau ameuliza hapo je vipi kuhusu majira ya mvua ambapo jua hupatikana kwa shida, mashine ufanyaji kazi wake ukoje?
Mkuu hii inatumia Jua kama chanzo cha nishati,Ukikosa jua maana yake haiwezi chaji bank yake.
 
Back
Top Bottom