Mtambo huu TBS waruhusu tu huu mzigo

Nimeshapika sana gongo na mnanasi... Tena ya viwango
Hapo ni issue ya kuboresha mazingira tu iwe na usafi halafu TFDA na TBS waipime kama haijafikia kiwango wamuelekeze ili kiwango kifikiwe.
Nimewahi kuangalia utengenezaji wa wine huko ughaibuni hauna tofauti sana na hii mifumo ya kutengeneza gongo.
 
Huku kwetu watengeneza magobole,gongo na vitu vingine vya kiubunifu wanakamatwa badala ya kutumia vipaji vyao na kuviendeleza tunawafunga
 
Back
Top Bottom