Mtambaji wa Zuma Zolani Mkhiva

KyelaBoy

JF-Expert Member
Nov 9, 2008
206
0
Heh jamani nimempenda huyu jamaa anayeanza kutamba kila wakati pale raisi Zuma anapoanza kuhutubia,nimesika anaitwa Zolani Mkhiva,anachangamusha jukwaa sana,pia nimempenda Zuma anapoimba nyimbo za kiutamaduni hakika amenigusa sana anapoimba hivi sasa wimbo wa kumuomboleza Madiba,na mwisho ni heshima kubwa kwa Watanza kwa kumfanya raisi wetu Kikwete kuwa baada ya kuhutubia ndio raisi wa SA Zuma ndio anafuatia,narudia tena SA wameonyesha kuwa Tanzania ina nafasi kubwa katika mchango wa uhuru wa SA.Hotuba ya raisi Kikwete kwa kweli imenigusa sana hadi nimetoa machozi ya huzuni na furaha,leo ametoa somo muhumimu kwa wale pretenders
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom