Mtama unahitajika

kangau

JF-Expert Member
Jan 7, 2016
258
255
Mtama mweupe au wa khaki unahitajika. Mwenye nao nicheki popote ulipo nitakufuata.
 
Mkuu nategemea kuvuna zaidi ya gunia 500 next month,toa ofa yako per kilo,tunaweza fanya biashara.
 
Mkuu nategemea kuvuna zaidi ya gunia 500 next month,toa ofa yako per kilo,tunaweza fanya biashara.
Mkuu tutafutane ukisha vuna..kujua na bei ya soko ikoje kwa kipindi hiko na pia upo mkoa gani?
 
Yani ukitaka kumjua mtu mbabaishaji, muulize bei anayo nunulia ni kiasi gani? Atajibu maswali mengine yote, lakini hilo la bei utasubiri sana..
 
Yani ukitaka kumjua mtu mbabaishaji, muulize bei anayo nunulia ni kiasi gani? Atajibu maswali mengine yote, lakini hilo la bei utasubiri sana..
Mkuu huwezi mpa mtu bei ya arusha wakati yy yupo sumbawanga wala huwezi mpa mtu wa arusha bei ya sumbawanga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom