Mtama au Ulezi pamoja na Mafuta ya Bio

Wambandwa

JF-Expert Member
Dec 3, 2006
2,249
830
Alfajiri leo nimesikia taarifa kutoka BBC kwamba huko Asia na Brazil wameanza kulima kwa nguvu saana ulzi au mtama kwa ajili ya matumizi mbadala ya 'corn' wanazotumia kwenye kutengeneza bio fuel.
Sasa kumbe mtama una faida nyingi: unapata chakula, sukari pamoja na kutengeneza bio fuel kutoka kwenye stem yake.
Sisi Tanzania ni vyakula vya asili ambavyo mtu hupaswi kushangaa. KWA NINI TUSITILIE MAANANI KILIMO HICHI???
 
Wambandwa,

Tumekidhi mahitaji ya chakula kwanza? Tukianza kufikiria kuuza chakula kwa biofuels long term effects zitakuwa zipi katika soko la chakula?

Tusije kuanza kuuza mtama na mahindi kwa wakubwa kwa ajili ya biofuels kesho keshokutwa tukashindwa hata kununua chakula kutokana na bei kupanda.

Mtama na mahindi ni chakula cha binadamu, siyo nishati ya kuendesha mitambo.
 
Back
Top Bottom