mtalii na mkalimani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mtalii na mkalimani

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by MziziMkavu, Aug 1, 2009.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Aug 1, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  Mtalii na mtafsiri wake Mtalii: Do you have vegetables here.
  Mtafsiri: Mnavyo vijimeza hapa.
  Waiter: Vijimeza vidogo hatuna.
  Mtafsiri: No sir, they don't have.
  Mtalii: OK, fine, do you have hot dogs.
  Mtafsiri: Sawa, je mnao mbwa wa moto.
  Waiter: Loh! Bwana we, hatupiki mbwa hapa.
  Mtafsiri: They don't cook here
  Mtalii: What type of snacks do you have here.
  Mtafsiri: Aina ngapi ya nyoka mnao hapa,
  Waiter: We bwana we hapa hatupiki aina yeyote ya nyoka, mwache akale nyumbani kwao.
  Mtafsiri: They don't cook any type of snacks here, maybe you can go back and eat at home.
  Mtalii: OK, at least give us a cocktail juice.
  Mtafsiri: OK, tupatie hata juisi ya mkia wa jogoo.
  Waiter: Hebu tokeni na bangi zenu hapa, tena sasa hivi kabla sijakasirika.
  Mtafsiri: Lets get out of here, I think this man is crazy!
   
 2. d

  dixon Member

  #2
  Aug 1, 2009
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hayo mambo yapo wana jamii sio mchezo,konda alimwambia denti mmoja ilove you so March,April,May
   
Loading...