Mtakie Daku njema jamaa,Rafiki,Mke,Mme,kaka,dada etc Usiku huu.

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Jiachie kwa kuwatakia Daku njema kama kichwa cha habari kinenavyo..... Mi namtakia daku njema My wife arabela(mysweetheart,myiceheart),
my shemeji eversmiling,Bibi madameX,
Babu Asprini,
Dada yangu Princess...
wote wana chit chaterz.
 
daku njema kwa wote.
Wasile sana kwani baadhi ya watu husema ukila sana daku swaumu inakua kali.
 
Name namtalia daku njema mume wng kipenzi zedayo pamoja na my sis Eversmiling na my wifi princes
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom