Mnataka mstake, Zanzibar ni nchi na inshaallah kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu siku itafika itakuwa na Waziri wake wa Kigeni,Waziri wa Mambo ya Ndani na Waziri wa Ulinzi. Mnaosema wabara wakafanye kazi Zanzibar hiyo ni ndoto ya mchana.
Katika makubaliano ya Muungano kati ya Hayati Mwalimu na Hayati Karume hakuna kipengele kinachosema wabara wapewe kazi Zanzibar bali baba wa taifa alikubali Wazanzibari waje bara kufanya biashara n.K. Tena ningemwomba Rais wetu mpendwa wa Zanzibar arudishe ule utaratibu wa watu wa bara kuingia Zanzibar lazima wawe na passport.
Sie Wazanzibari tuna utalii na karafuu ambazo zitatufanya kujitegemea kwa kila kitu. Isitoshe hatuzidi milioni na ushee tukipata mafuta na gesi ndio kabisa mtusahau.
Rais Dkt. Hussein Mwinyi umetuunganisha Wazanzibari na sasa ukuze uchumi wetu ili Wabara watambue kuwa Zanzibar ni nchi kamili. Tuna bendera yetu, wimbo wa taifa, baraza la wawakilishi, sasa wale wabara wasiotutakia mema watalia.
Udumu Muungano wetu kwa utaratibu huu wa amani na utulivu. Hongera mama Samia, hongera Dkt. Hussein Mwinyi.