MTAKE MSITAKE ZANZIBAR NI NCHI NA WATAOAJIRIWA NI WAZANZIBARI.HUWEZI KUMWACHA MZAWA MZANZIBARI UKAMWEKA MTU WA BARA.

Mars 12

JF-Expert Member
Feb 25, 2021
223
500
Mnataka mstake,Zanzibar ni nchi na inshaallah kwa uwezo wa mwenyezi mungu siku itafika itakuwa na waziri wake wa kigeni,waziri wa mambo ya ndani na waziri wa ulinzi.Mnaosema wabara wakafanye kazi zanzibar hiyo ni ndoto ya mchana.Katika makubaliano ya Muungano kati ya Hayati Mwalimu na hayati Karume Hakuna kipengele kinachosema wabara wapewe kazi Zanzibar Bali Baba wa Taifa alikubali Wazanzibari waje bara kufanya biashara n.k.Tena ningemwomba Rais wetu Mpendwa wa Zanzibar arudishe ule utaratibu wa watu wa Bara kuingia zanzibar lazima wawe na passport.Sie wazanzibari tuna UTALII NA KARAFUU AMBAZO ZITATUFANYA KUJITEGEMEA KWA KILA KITU.ISITOSHE HATUZIDI MILIONI NA USHEE TUKIPATA MAFUTA NA GESI NDIO KABISA MTUSAHAU.RAIS DR HUSSEIN MWINYI UMETUUNGANISHA WAZANZIBARI NA SASA UKUZE UCHUMI WETU ILI WABARA WATAMBUE KUWA ZANZIBAR NI NCHI KAMILI.TUNA BENDERA YETU,WIMBO WA TAIFA,BARAZA LA WAWAKILISHI,sasa wale wabara wasiotutakia mema watalia.UDUMU MUUNGANO WETU KWA UTARATIBU HUU WA AMANI NA UTULIVU.HONGERA MAMA SAMIA,HONGERA DR HUSSEIN MWINYI.
 
Ndalilo

JF-Expert Member
Jan 30, 2013
2,328
2,000
Daaah, mafuta na gesi? Mbona wengi wanavyo hivyo vitu hapa Africa, sioni maajabu yao!

Idadi ya watu? Milioni moja, mkifungiwa kwenye ka ardhi kenu kasikozidi hata 10km2 jumla si itakuwa balaa? China wana watu wengi, uchumi wao unakuwa sana, USA, watu 300mln, Nigeria pia, 200mln, ninyi mnaozaana kwa mpango, maendeleo yenu yakoje?

Kama nchi ina eneo dogo kama hilo, yaani ni dogo kuliko pengine wilaya nyingi sana za Tanganyika, mnashindwa nini kuifanya iwe pepo ndogo kwa takribani miaka 60 sasa?

Nchi yenye wakaazi kama mnavyojiita, msiozidi 900k jumla na ardhi yenye ukubwa wa 2.6km2, mmeamua kutumia nusu ya bajeti ya eneo lenu kuwa na viongozi wa kisiasa bila sababu za msingi, utegemee kubadilika kwakuwa mna gesi na mafuta?

Bei ya Airbus moja tu ingetikisa bajeti yote ya mwaka kwenu, pesa za utalii, umeme wa bure, TRA, gawiwo toka huku, huduma bure nyingi mnazopewa, mnazifanyia nini?

Na ajabu ni kuwa mnasifika kwa uafrica uliokubuhu ila population haikui, nini shida? Au ndo mmejazana bara kwakuwa huko hakukaliki?

Fikiria sera ya kusema kuwa wabara hawapaswi kumiliki ardhi huko ila weupe wanaruhusiwa, kuna kitu unaona hakiko sawa hapo?
 
brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
18,330
2,000
Mnataka mstake,Zanzibar ni nchi na inshaallah kwa uwezo wa mwenyezi mungu siku itafika itakuwa na waziri wake wa kigeni,waziri wa mambo ya ndani na waziri wa ulinzi.Mnaosema wabara wakafanye kazi zanzibar hiyo ni ndoto ya mchana.Katika makubaliano ya Muungano kati ya Hayati Mwalimu na hayati Karume Hakuna kipengele kinachosema wabara wapewe kazi Zanzibar Bali Baba wa Taifa alikubali Wazanzibari waje bara kufanya biashara n.k.Tena ningemwomba Rais wetu Mpendwa wa Zanzibar arudishe ule utaratibu wa watu wa Bara kuingia zanzibar lazima wawe na passport.Sie wazanzibari tuna UTALII NA KARAFUU AMBAZO ZITATUFANYA KUJITEGEMEA KWA KILA KITU.ISITOSHE HATUZIDI MILIONI NA USHEE TUKIPATA MAFUTA NA GESI NDIO KABISA MTUSAHAU.RAIS DR HUSSEIN MWINYI UMETUUNGANISHA WAZANZIBARI NA SASA UKUZE UCHUMI WETU ILI WABARA WATAMBUE KUWA ZANZIBAR NI NCHI KAMILI.TUNA BENDERA YETU,WIMBO WA TAIFA,BARAZA LA WAWAKILISHI,sasa wale wabara wasiotutakia mema watalia.UDUMU MUUNGANO WETU KWA UTARATIBU HUU WA AMANI NA UTULIVU.HONGERA MAMA SAMIA,HONGERA DR HUSSEIN MWINYI.

Vunjeni na Muungano kabisa, marungu yote si mnayo nyie wenyewe?
 
Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
12,099

Ukizisikia THREADS chonganishi ndizo hizi sasa.....

Mtoa thread ni "mbara" mwenzangu....acha kuwachafua ndugu zetu Wazanzibari kwa kuamsha HISIA KOKO ZISIZOKO.....

#Nchi Kwanza

#Siempre JMT

#Siempre Serikali Mbili Za JMT
 
Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
66,074

Dawa ya jeuri yenu ni katiba ya Warioba. Urithi pekee mtakaoupata ni Mwenge wa Uhuru tu. Muukimbize mchana na usiku kucha huko kwenu kwa siku 365 za mwaka
 
Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
12,099
2,000
Ukisikia CHOKOCHOKO...

Ndizo hizi sasa.....

Mtoa hoja anatafuta kupandisha HISIA KOKO watakaouendea uzi kijinga 🤣🤣

Acha utapeli ha ha ha
 
James Martin

JF-Expert Member
Apr 2, 2016
1,200
2,000
Ukizisikia THREADS chonganishi ndizo hizi sasa.....

Mtoa thread ni "mbara" mwenzangu....acha kuwachafua ndugu zetu Wazanzibari kwa kuamsha HISIA KOKO ZISIZOKO.....

#Nchi Kwanza

#Siempre JMT

#Siempre Serikali Mbili Za JMT
Hata mimi nilifikiri kama wewe kwamba huyu mtu ni mbara lakini anatoa maneno hata ili kuamsha hisia za watu.

Lakini kuna kitu kimoja sijui kama umekigundua. Huyu bwana anataka kumtua doa mtu mmoja tu...! Anataka kupandikiza chuki juu yake. Nafikiri umeshamhua mlengwa. Hili genge linatumia kila hila lakini halitoweza.
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
94,442
2,000
Mnataka mstake,Zanzibar ni nchi na inshaallah kwa uwezo wa mwenyezi mungu siku itafika itakuwa na waziri wake wa kigeni,waziri wa mambo ya ndani na waziri wa ulinzi.Mnaosema wabara wakafanye kazi zanzibar hiyo ni ndoto ya mchana.Katika makubaliano ya Muungano kati ya Hayati Mwalimu na hayati Karume Hakuna kipengele kinachosema wabara wapewe kazi Zanzibar Bali Baba wa Taifa alikubali Wazanzibari waje bara kufanya biashara n.k.Tena ningemwomba Rais wetu Mpendwa wa Zanzibar arudishe ule utaratibu wa watu wa Bara kuingia zanzibar lazima wawe na passport.Sie wazanzibari tuna UTALII NA KARAFUU AMBAZO ZITATUFANYA KUJITEGEMEA KWA KILA KITU.ISITOSHE HATUZIDI MILIONI NA USHEE TUKIPATA MAFUTA NA GESI NDIO KABISA MTUSAHAU.RAIS DR HUSSEIN MWINYI UMETUUNGANISHA WAZANZIBARI NA SASA UKUZE UCHUMI WETU ILI WABARA WATAMBUE KUWA ZANZIBAR NI NCHI KAMILI.TUNA BENDERA YETU,WIMBO WA TAIFA,BARAZA LA WAWAKILISHI,sasa wale wabara wasiotutakia mema watalia.UDUMU MUUNGANO WETU KWA UTARATIBU HUU WA AMANI NA UTULIVU.HONGERA MAMA SAMIA,HONGERA DR HUSSEIN MWINYI.
Kwani tumebisha basi !
 
Iceberg9

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
21,955

Rais wenu ni wa wapi kwani
 
Okwaaa

JF-Expert Member
Dec 3, 2020
1,292
2,000
Ngoja tuje tuwaache mbwa nyie muone kama mpo salama. Tena tukiwaacha tunasema kuwa zanzibar kuna mafuta uone BOKO haramia kama hawajaja kuwafukuza huko. Na sisi tutazuia mipaka yetu vzr ili mpigwe mpk mtuombe msamaha ndipo tuwasaidie😂😂😂
 
Ngamanda

JF-Expert Member
Jan 9, 2019
370
500
Mnataka mstake,Zanzibar ni nchi na inshaallah kwa uwezo wa mwenyezi mungu siku itafika itakuwa na waziri wake wa kigeni,waziri wa mambo ya ndani na waziri wa ulinzi.Mnaosema wabara wakafanye kazi zanzibar hiyo ni ndoto ya mchana.Katika makubaliano ya Muungano kati ya Hayati Mwalimu na hayati Karume Hakuna kipengele kinachosema wabara wapewe kazi Zanzibar Bali Baba wa Taifa alikubali Wazanzibari waje bara kufanya biashara n.k.Tena ningemwomba Rais wetu Mpendwa wa Zanzibar arudishe ule utaratibu wa watu wa Bara kuingia zanzibar lazima wawe na passport.Sie wazanzibari tuna UTALII NA KARAFUU AMBAZO ZITATUFANYA KUJITEGEMEA KWA KILA KITU.ISITOSHE HATUZIDI MILIONI NA USHEE TUKIPATA MAFUTA NA GESI NDIO KABISA MTUSAHAU.RAIS DR HUSSEIN MWINYI UMETUUNGANISHA WAZANZIBARI NA SASA UKUZE UCHUMI WETU ILI WABARA WATAMBUE KUWA ZANZIBAR NI NCHI KAMILI.TUNA BENDERA YETU,WIMBO WA TAIFA,BARAZA LA WAWAKILISHI,sasa wale wabara wasiotutakia mema watalia.UDUMU MUUNGANO WETU KWA UTARATIBU HUU WA AMANI NA UTULIVU.HONGERA MAMA SAMIA,HONGERA DR HUSSEIN MWINYI.
Hivi kazi zote zilizopo Zanzibar wakipewa watu wa bara (Tanganyika), ni percent gani ya ajira kwa wa Tanganyika? Nafikiri haitafika hata 0.1%!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom