Mtakatifu Thomas More alikua Mshauri katika Baraza la Mfalme Henry VIII aliuawa kwa kutetea Imani yake ya Kikatoliki

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,267
On 6 July 1535 , Thomas More was led from the Bell Tower up to the scaffold on Tower Hill. He appeared calm and in good humour, and even share a joke with the officer who assisted him onto the scaffold:
‘ I pray you, master Lieutenant, see me safe up, and for my coming down let me shift for myself’
1620836072092.png

Thomas More alikua Mwanasheria kitaaluma, hakukubalina na Kitendo cha Mfalme Henry kuachana na Kanisa Katoliki na kujitenga na Pope na Vatican. Alisimamia msimamo wake na Mfalme Henry aliamua auwawe.
 
1620837397421.png

Mke wa kwanza wa Mfalme Henry, Katherine Aragon, Baada ya ndoa yao kushindwa kupata mtoto wa kiume atakae kuwa mirth, Mfalme atikaka kuoa tena kanisani ndiyo Pope alimkatalia.

Mfalme aliamua kuanzisha kanisa lake, ambalo ndiyo Church of England.
 
Alikua na roho mbaya sana, alitaifisha mali za Kanisa Katoliki. Mungu ni mkubwa kutokana na matumizi yake mabaya alikufa akiwa kijana kwa magonjwaya moyo.

Screenshot_20210603-132045.png

Chanzo chote kilikua ni huyu hawara Anne Boleyn. Ambaye alimuoa baada ya kumuacha mkewake huyo

Na matokeo yake alijikuta anaoa hadi wanawake 6 na hakuna aliyempatia mtoto wa kiume

Mwishowe Mtoto wa Anne Boleyn, Aliueitwa Elizabeth wa kwanza(Elizabeth I) ikabidi arithi kiti

Na Anne Boleyn alivyoshindwa kumpatia mtoto wa kiume pia Mfalme akaona aibu kurudi kanisani kuomba talaka(Anglican Church) japokua alikua ndo mkuu wa kabisa

Akamtungia mashtaka ya kusaliti ndoa na kutaka kumuua mfalme nae Ane Boleyn akala upanga pia jamaa akaoa mke wa 3,4,5 mpaka 6😂😂😂😂
 
View attachment 1806901

Come wa kwanza Catherine of Aragon alikua binti wa Mfalme Fernand na Malkia Isabella wa Hispania. Wazazi wake walimuandaa kuwa Malkia na aliongea na kuandika Kilatin, Kiingereza na Kihispania. Alikua na mafunzo ya Jeshi. Kwa miaka hiyo alikua ni binti mwenye elimu.

Aliolewa na kaka wa Henry, Arthur ambae alifariki wakiwa honeymoon. Mfalme Fernand aliambiwa arudishe mahari. Kumbe nao zamani walioana kwa mahari. Mfalme alikataa na kuomba Catherine awe Spanish Ambassador kwa Uingereza badala yake.

Henry alipofikisha umri wa kuoa aliambiwa amuoe Catherine, lakini ilikua ni lazima mfalme aoe bikra. Hivyo Catherine aliapa kwa Maaskofu kuwa Arthur hakuwahi kumgusa, alipata maradhi kabla hawajishiriki tendo la ndoa.

Catherine alikua mkubwa kwa Henry kwa miaka mitano. Ninadhani haya pia yalichangia ndoa isiyo na upendo.
 
Huyu mfalme Henry VIII , pamoja na kuoa wake 6 ili apate mtoto wa kiume atayewezesha damu yake itawale England milele , kizazi chake kilishia kwa Queen Elizabeth I, japokuwa watoto wake watatu Edward VII, Mary I na Elizabeth I , kutawala England lakini hamna hata moja aliyejaaliwa kuzaa watoto. Inawezekana alipata laana kwa utawala wa mabavu na kuua baadhi ya wake zake na waliompinga.
 
Achana na Novena za Kanisa Katoliki.
 
Oooh umeniongezea kitu kuhusu huyo kufa na bikra.

Pia Elizabeth I aliyekua mtoto wa Anne baadae alikuja kuwa queen na kutawala mpka anakufa akiwa na miaka kama 70 alikua bikra na hakuolewa(Ndo matokeo yake Throne ikatoka House of Tudor kwenda House of Plantaganet halafu Hanover halafu Saxo Coburg then ndo Windsor(Ya sasa)

Huyu ndo alidedicatiwa koloni la Virginia kuonyesha ubikra wake
 
Yeah hapo ndo house yake iliishia kutawala
 
Oooh umeniongezea kitu kuhusu huyo kufa na bikra.

Pia Elizabeth I aliyekua mtoto wa Anne baadae alikuja kuwa queen na kutawala mpka anakufa akiwa na miaka kama 70 alikua bikra na hakuolewa(Ndo matokeo yake Throne ikatoka House of Tudor kwenda House of Plantaganet halafu Hanover halafu Saxo Coburg then ndo Windsor(Ya sasa)

Huyu ndo alidedicatiwa koloni la Virginia kuonyesha ubikra wake
On this day 3rd June 1865 The birth of George V, King of England from 1910 to 1936 who married Princess Mary of Teck (Queen Mary) in 1893. He ruled during the First World War and changed the family name from Saxe-Coburg-Gotha to Windsor in 1917.

1622719486506.png
 
Hapana sio Novena, ni documentary za British royal family from "Six wives of Henry VIII"
Nilichomaanisha ni laana aliyopata Mfalme baada ya matendo aliyowatendea watawa wa Katoliki. Baada ya kuanzisha kanisa lake aliamuru watawa wote wa Katoliki kujiunga na kanisa lake, waliokataa waliuliwa.

Kuna Wakatoliki waliwaficha mapadre majumbani kwao, nao pia waliuliwa. Alijimilikisha mali za kanisa.
 
Back
Top Bottom