Mtaka Nyingi Nasaba Hupata Wingi Msiba

ALLEN KP

Senior Member
Mar 28, 2017
118
31
Nini hasa Tatizo lililopo kati ya Maalim Seif na Prof Lipumba adi mnapelekea mpasuko wa chama!!!
Kuna haja gani ya kuendelea kurumbumana au ndiyo tamaa za madaraka na faida binafsi za matakwa yenu!!!
24a87bff219e0e9a5b12038ab1d96478.jpg
 
ca8da2ff0ca0a35d89cf9510f5adae0d.jpg
 
Mwenye makosa ni lipumba alijitoa mwenyew kwenye chama mara ghafla from no wher anataka kurudi tena kama mwenyekiti
 
wanakosa kitu kidogo tu .. hekima na busara
Inabidi uwashauri hapo wafanyaje maana kila mmoja anajiona yupo sahihi though mioyoni kuna mmoja anajijua kabisa anaharibu ila ameamua kukaza (na mara nyingi asie na haki ni wa kwanza kukubali mazungumzo sasa sijui kwa hawa jamaa wao wanafikiriaje kwa mfano)
 
Tatizo ni malaika mkuu na mutungi wanaokuza huu mgogoro kwa kuitaka kwa hali na mali CUF ya malaika mkuu na mutungi.

Nini hasa Tatizo lililopo kati ya Maalim Seif na Prof Lipumba adi mnapelekea mpasuko wa chama!!!
Kuna haja gani ya kuendelea kurumbumana au ndiyo tamaa za madaraka na faida binafsi za matakwa yenu!!!
24a87bff219e0e9a5b12038ab1d96478.jpg
 
CCM wame engineer hili kwa manufaa yao binafsi... kuvuruga upinzani ili kutawala ni dhambi sawa sawa na dhambi nyingine! Maalim ni wa wananchi Lipumba ni wa Msajili!
 
Nini hasa Tatizo lililopo kati ya Maalim Seif na Prof Lipumba adi mnapelekea mpasuko wa chama!!!
Kuna haja gani ya kuendelea kurumbumana au ndiyo tamaa za madaraka na faida binafsi za matakwa yenu!!!
24a87bff219e0e9a5b12038ab1d96478.jpg
Haihitaji hata kuwa na akili za Bashite kujua kuwa Propesa anatumiwa.
Mleta mada kama unaishi nchi hii basi utakuwa ni Bogus Mara kumi ya Bashite
 
Tatizo lako kutukana ndy unaona tija kwako . Usiongee tu bila mantinki km unavyojamba bila bleki
 
Back
Top Bottom