Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

Mr JM

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
267
500
Kama upo dar halafu so Bishoo tafuta Bajaji used ya ukweli tafuta root iliyochangamka endesha mwenyewe Kuwa serious amka Mapema utapiga hela Kama so chapombe,mademu,mzee WA mikeka and the like hela inarudi within 4 month unaanza Kula Faida ukitaka unaweza nunua Mpya after miez 6/7 ukilaza chini ya 900k per month ukitoa takataka zote za matumizi jitafakari Sana.
 

Mr JM

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
267
500
Mkuu tutampa ila sasa wazo la biashara lazima likutane pia na mtu ambaye atapatwa uchungu nalo na yuko tayar kulibeba,anaweza kuwa yuko willing kubeba pesa mkononi lakin wazo lenyewe akalitelekeza njian na asilitumie ipasavyo
Kweli mkuu unajua implementation ndo cha msingi
 

Bigbootylover

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
2,831
2,000
Asithubutu kabisa, bora mpya
Kama upo dar halafu so Bishoo tafuta Bajaji used ya ukweli tafuta root iliyochangamka endesha mwenyewe Kuwa serious amka Mapema utapiga hela Kama so chapombe,mademu,mzee WA mikeka and the like hela inarudi within 4 month unaanza Kula Faida ukitaka unaweza nunua Mpya after miez 6/7 ukilaza chini ya 900k per month ukitoa takataka zote za matumizi jitafakari Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Bigbootylover

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
2,831
2,000
Nimepitia uzi, toka 1-2073 hapo, niwapongeze wadau kwa michango mizuri. Nimejifunza kumbe biashara inabidi kwanza utafute unachokipenda kufanya, pia eneo ulipo, mtaji, hata kama unachokipenda hakiwezekani kwa muda huo basi angalia changamoto za eneo linalokuzunguka ndio uzifanye fursa,......Asanteni wadau uzi na udumu. Mimi Idea nilizozipenda na ndio passion yangu hasa ni mgahawa na kuuza nafaka, saloon ya kiume, bdy mambo yakiwa mazuri nifanye daladala hasa kwa Dar na kufungua duka la nguo Unique yaani zile original.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Yudatade Edesi Shayo

JF-Expert Member
Aug 2, 2016
2,904
2,000
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimeingia mtaani nimejipiga piga nikapambanana nikapata hela milioni nne nilikuwa naomba wazo naweza nikafanya biashara gani mana nilitaman sana kufanya biashara ya kusafiri ila naomba wazo ndugu zangu ni biashara ipi ntatoka haraka

Sent using Jamii Forums mobile app
Fungua duka la vifaa vya pikipiki tafuta center na fundi mzuri hutojutia mimi hii biashara imenipa maisha kwa kiasi fulani ni nzuri sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 

LwandaMagere

JF-Expert Member
Mar 15, 2020
264
1,000
Mkuu ina maana huna cha kufanya kwenye hiyo pesa?,leta tuwekeze mkuu kwenye bonge la biashara ambayo kila wiki utakuwa unapata si chini ya laki

Tulia hivyo hivyo dawa ikuingie..
 

Mnyenz

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
1,326
2,000
Mkuu ina maana huna cha kufanya kwenye hiyo pesa?,leta tuwekeze mkuu kwenye bonge la biashara ambayo kila wiki utakuwa unapata si chini ya laki

Tulia hivyo hivyo dawa ikuingie..
Biashara gani mkuu? si ungeitaja hapa ili mamilionea tuwekeze?
 

Mniombee

Member
Dec 14, 2018
42
125
Mkuu ina maana huna cha kufanya kwenye hiyo pesa?,leta tuwekeze mkuu kwenye bonge la biashara ambayo kila wiki utakuwa unapata si chini ya laki

Tulia hivyo hivyo dawa ikuingie..
Mkuu kuna mazingira, mfano mi kuna biashara nilikuwa naifanya ila kwa sasa haitoki vizuri wateja wangu wanasingizia corona, so nafikiria nidivert kwa biashara ingine ambayo sijaijua mpk sasa..mtaji upo kidogo wa 2ml lkn sijajua nifanye kipi kuzalisha hela yangu. Hivyo mjasiriamali mwenzangu asaidiwe Kwa mawazo tusaidike wengi.
 

Dagger-v

JF-Expert Member
Mar 6, 2020
1,867
2,000
WANA JF, HAYA MAMBO HAYAFANANI KABISA, HUYU ALIKUWA NA MTAJI NA ANA MUDA WA KUFANYA BIASHARA. MIMI NIMEOMBA KUJUA BIASHARA YA KUFANYA WAKATI NIKIWA KAZINI, YAANI BILA KUWA NA MUDA MWINGI WA KUSIMAMIA BIASHARA HIYO.
Biashara bila usimamizi , acha kuchekesha watu

One love
 

Santieli

Member
Apr 30, 2014
57
125
Wasalaam wana jamii.

Rejea kichwa cha habari hapo juu. Ninatarajia kupewa mil 2 na baba mkwe wangu iwe kama starting point ya maisha yangu na wife baada ya msoto wa ajira kunizidi speed.

Naomba wazo la biashara lenye kukidhi mtaji wangu....
Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom