Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

Habari wapendwa. Naomba kuuliza ni fursa zipi au biashara zipi naweza kufanya kwa mtaji wa Million 1. Nimemaliza chuo mwaka huu, hali ni ngumu mtaani, nimepata mkopo wa Million 1 kama kianzio cha biashara. Natanguliza shukurani.
Unapaswa kufanya kile unacho fanya au kile unacho kiwaza kila siku kukifanya basi fanya hicho hicho. Usisubilie watu wawaze kwa niaba yako

Ukisubilia watu wa Bett ni kitu gani kufanya basi tegemea kukubeti kile wanacho penda wao
 
Ingekuwa china tungejikusanya vijana 10 wenye milioni moja kama ww ikawa milioni kumi, tukanunua majembe kama matatu hivi ya kulima kwene mpunga huko tunaenda kuweka kambi na kuwalimia wakulima hadi msimu ukiisha tunastore yetu kubwa jijini Dsm
 
Kwa mtaji huo Fanya biashara yenye mzunguko haraka faida isipungue 20 kwa siku usfanye biashara ya kusubiri miezi kadhaa ndo ikupe faida
 
kwa Million kumi inawezekana?
 
Kwa mtaji huo Fanya biashara yenye mzunguko haraka faida isipungue 20 kwa siku usfanye biashara ya kusubiri miezi kadhaa ndo ikupe faida
Tatizo muda atakuwa nao kashasema yupo chuo.

Kwamimi angefanya biashara yenye office ambayo hata kama ayupo inaenda.
 
Habari wapendwa. Naomba kuuliza ni fursa zipi au biashara zipi naweza kufanya kwa mtaji wa Million 1. Nimemaliza chuo mwaka huu, hali ni ngumu mtaani, nimepata mkopo wa Million 1 kama kianzio cha biashara. Natanguliza shukurani.
Na mimi nimemaliza chuo mwaka huu niko makini sana kufatilia kitakachojibiwa hapa..,
Marketing n promotion nitafute nitakupa ofisi na vijana bure....
 
Fungu duka online insta au (facebook) facebook fungua page, hii page iwe na facebook ads. Duka uza vitu vya kike accessories, viatu au handbag tafuta maduka kariakoo yanayouza bei za jumla . deriverly unafanya mwenyewe uwe unatuma mpk nje ya dar! Million nyingi ukianza hata na laki tatu inatosha. Akili yangu ya kukushauri imeishia hapo mamy.
 
Back
Top Bottom