Mtaji wa Sh. Mil 5 unafaa kwa biashara gani?

[/COLOR][/B]

- Aidea haitolewi kama Dawa vile, si sawa na kusema unaumwa kichwa watuwakakwambia kunywa Paracetamol, panadol, Aidea ya biashara nin kitu kinginekabisa Dada, huwezi kuwa mwanza mtu yuko Dar ukampa wazo la biashara,

1. Nitakua nimejua vipi mazingira ya huko?

Hapa ni kudanganyana na hii kitu haipo mahali popote pale duniani zaidiya hapa kwamba unaweza mpigia mtu wewe uko Arusha na yeye Dar ukamshauri anzekufanya biashara fulani,
- Na hilo la Bodaboda si business aidea, aidea gani.
Your English teacher REALLY failed you.
 
hiyo ni kweli kabisa. Tujifunze kuwa na idea mpya ili tutamaniwe siyo kutamani. Kaka hapo juu umenikuna.....


tunataka wajasiriamali wenye financial stability kama kina Aliko Dangote, sasa bodaboda sioni kama kuna nafasi ya kukua zaidi ya kupata hela ya kula tu.
 
hiyo ni kweli kabisa. Tujifunze kuwa na idea mpya ili tutamaniwe siyo kutamani. Kaka hapo juu umenikuna.....


tunataka wajasiriamali wenye financial stability kama kina Aliko Dangote, sasa bodaboda sioni kama kuna nafasi ya kukua zaidi ya kupata hela ya kula tu.
 
Nenda Kerege. Kamata ekari za shamba. Miaka miwili unauza mara tatu ya bei uliyonunulia.
 
Kama upo Dar nakushauri tafuta sehemu karibu na kituo cha daladala fungua TiGO-Pesa, Airtel Money,Voda M-Pesa..uza na vocha tena siku hizi unapitishiwa vocha na mawakala jioni wanapitia pesa yao.
 
Nunua bodaboda 3 wape vijana boda moja kwa siku ni tsh 6000 mara 3=18000, ndani ya miaka miwili utakua umetengeneza faida ya m 7.

Sikushauri boda boda! Too risk, hao unaowakabidhi pikipiki ni wehu hawana roho ya uthamini mali ya mmiliki. Try something else.
 
Vipi duka la spare za bajaj au hata boda boda - hapa itategemea location mkubwa. Mtaji ukikua unakuza biznez.
 
nipo tabata Segerea. nadhani hii ya boda boda itakuwa nzuri.

Sikushauri ununue bodaboda. utapata presha bure. nimeshaifanya inausumbufu sana. Nenda kibaigwa nunua alizeti kwa sasa gunia ni elfu 35 , kaifadhi kwenye mashine za kukamulia ,kaa miezi mi4 uza gunia kwa elfu 55. Ushauri zaidi ni pm
 
Hapa ni kudanganyana tu, mimi niko Arusha jamaa yuko Darmimi nimpe aidea gani? Nafahamu vipi mazingira ya Dar? najua vip triends yahuko Dar? hapa tufanya business aidea sawa na utabili wa hali ya hewa.

- Aidea haitolewi kama Dawa vile, si sawa na kusema unaumwa kichwa watuwakakwambia kunywa Paracetamol, panadol, Aidea ya biashara nin kitu kinginekabisa Dada, huwezi kuwa mwanza mtu yuko Dar ukampa wazo la biashara,

1. Nitakua nimejua vipi mazingira ya huko?

Hapa ni kudanganyana na hii kitu haipo mahali popote pale duniani zaidiya hapa kwamba unaweza mpigia mtu wewe uko Arusha na yeye Dar ukamshauri anzekufanya biashara fulani,
- Na hilo la Bodaboda si business aidea, aidea gani hiyo wakati nibiashara ipo na inafanwa na watu kibao? wewe leo huwezi anzisha Duka la kuuzaVocha halafu ukaanza kutamba kwamba una Aidea nzuri,

NA THE BEST BUSINESS AIDEA NI UNAYO FOMULATE MWENYEWE, NA SI YAKUTABILIWA KAMA BAHATI NA SIBU, NCHI KAMA MAREKANI AMBAYO ILIANZA MIAKA MIAKAZAA ILIYO PITA STILL BADO KUNA AIDEA ZA KUFA MTU SASA

- MTU KAMA HUWEZI KUJA NA WAZO LAKO ZURI LA BIASHARA HUTAWEZA HATAKUSIMAMIA BIASHARA YAKO, TUNAKWEPA SANA KUUMIZA VICHWA THAT IS WAHY

Umenena vyema, waTZ wengi wavivu wa kufikiri.....wenzetu marekani watu wana idea za kwenda kujenga hotel na kuanzisha mashamba kwenye space....sisi tunashindwa kufikiri biashara ambazo zingeweza kutatua matatizo yanayotuzunguka, boda boda sio biashara, hiyo ni biashara ya wachina. leo hii tunakimbilia boda boda kwa kuwa wachina wameumiza vichwa katika kutafuta njia za kurahisisha usafiri, na wao walifocus kwenye shida iliyopo Africa na sisi tunapaswa kufocus kwenye shida zilizopo katika vijiji vyetu na hata maeneo ya mjini.

Ushauri wangu wa biashara kwako - Loy; tumia 1 milioni kutembea mikoa mbalimbali tanzania ukirudi kwako utapata wazo la biashara. sasa mtu amekaa dar tu halafu anauliza wazo la biashara.......!!!! unafikiri watu wanpokuja kutalii wanakuja kustarehe.....wanaelewa nini maana ya kutembea, akirudi kwao amepata wazo la biashara, utashangaa anakuja kuwekeza kwenu.
 
mtu kasema ni mwanafunzi unamwambia azunguke tanzania huu ni ushauri au matope?
 
Mimi ni mdada miaka 26 elimu yangu ni form six nilikua nafanya kazi ktk kampuni moja jijini dar ila sasa nimeacha kutokana na mambo tu ya kazini. Niko rombo kilimanjaro naomba mnipe wazo la kufanya na hiyo milion tano. Niko tayari kufanya biashara kati ya dar au rombo cose kote nina sehemu ya kukaa bila kulipa kodi. Ushauri tafadhali
 
Mjasiriamali Wa kweli hawezi uliza swali Kama hili, wazo la biashara hutangulia kabla a fedha, kuna watu Wengi sana ambao akipata hata Laki moja in mind Anakuwa anajua exactly atakachofanya!

Ni kweli kabisa , lakini sio wajasiliamali tu wanaopaswa kufanya biashara ? na wafanyabiashara(waliofanikisha) sio wote ni wajasiriamali, na pia sio wajasiliamali wota lazima wafanikiwe ? jifunze GETs General Enterprising Tendecies

Unawe kujitambua kama wewe ni mjasiriamali au sio kwa kujipima hapa http://get2test.net/test/index.htm
 
mkuu nipe mimi then kila mwezi nikuletee laki tatu au unasemaje ? km imekaa vzr niambie the tupange jinsi ya kuonana na uone ofisi yangu na biashara yangu.... imetulia
 
WATANZANIA TUNAPENDA SANA BIASHARA RAHISI NA ZISIZO HITAJI AKILI KABISA, BIASHARA YA BODABODA INAFANYWA NA WATU AMBAO WAMEFIKIA MWISHO WA KUFIKILIA NA AMBAO NA WAVIVU WAKUTUMIA AKILI

- Kwa magreat thinker kuja na wazo la Bodaboda ni kitu cha ajabu sana, ni kwa nini tusipende kuwekeza katika miradi yenye tija kwa taifa hili

1. Kwa nini si miradi yenye tija kwa taifa hili?

2. Kwa nini si uwekezaji ambao hata watu wa nje watatamani kufanya na wewe kazi?

3. Hii biashara si sustainable hata kidogo na sijui mtu mwenye hii biashara huwa anaplani niniu mbeleni

- Anzisha biashara ambayo miika kumi ijayo itakuwa ni biashara kubwa sana ndani na nje ya nchi hii,

- Watanzania utakuta mtu ana gest house moja ana Bodaboda tatu, ana kibanda cha simu na vocha, sasa mtu kama huyi sijui huwa anataget nini kuja kuwa vipi,

-HII DUNIA NI YA USHINDANI MKUBWA SANA NA KWA SASA ATAKAYE SAVAVIVE NI MTU ANAYE KUWA NA IDEA ILIYO ENDA SHULE, JARIBUNI KUTEMBELEA African Report muone vijana wa nchi zingine mawazo yao ya biashara, huwezi kuta vuijana kama wakule NIGERIA WANAPEANA USHAURI WA BODABODA HATA SIKU MOJA,

Nilizama Aidea ambayo hata ukiitwa kwenda kupresent mahali watu wanakuna vichwa na kukuona wewe ni mtu mwingine kabisa, sasa unaitwa unaenda kupresent Bajaji na Bodaboda utaonekana wa ajabu sana
Da utaniua kwa kucheka sana,ila inasikitisha sana na comment yako ni very challenging
 
True ndio maana hili kuavoid kutosa tosa madereva bora upate kijana muaminfu ili mambo yaende vizuri.

Uaminifu unatakiwa sana. Vijana wengi wakikabidhiwa biashara wanajiangalia wao tu. Wanapata hesabu ya siku ila kwa tajiri wanapeleka hadithi tupu
 
Back
Top Bottom