miminimkulimaakachekasana
JF-Expert Member
- May 29, 2017
- 3,263
- 4,709
MGAHAWA, MI NAONA NI WAZO ZURI
WATANZANIA TUNAPENDA SANA BIASHARA RAHISI NA ZISIZO HITAJI AKILI KABISA, BIASHARA YA BODABODA INAFANYWA NA WATU AMBAO WAMEFIKIA MWISHO WA KUFIKILIA NA AMBAO NA WAVIVU WAKUTUMIA AKILI
- Kwa magreat thinker kuja na wazo la Bodaboda ni kitu cha ajabu sana, ni kwa nini tusipende kuwekeza katika miradi yenye tija kwa taifa hili
1. Kwa nini si miradi yenye tija kwa taifa hili?
2. Kwa nini si uwekezaji ambao hata watu wa nje watatamani kufanya na wewe kazi?
3. Hii biashara si sustainable hata kidogo na sijui mtu mwenye hii biashara huwa anaplani niniu mbeleni
- Anzisha biashara ambayo miika kumi ijayo itakuwa ni biashara kubwa sana ndani na nje ya nchi hii,
- Watanzania utakuta mtu ana gest house moja ana Bodaboda tatu, ana kibanda cha simu na vocha, sasa mtu kama huyi sijui huwa anataget nini kuja kuwa vipi,
-HII DUNIA NI YA USHINDANI MKUBWA SANA NA KWA SASA ATAKAYE SAVAVIVE NI MTU ANAYE KUWA NA IDEA ILIYO ENDA SHULE, JARIBUNI KUTEMBELEA African Report muone vijana wa nchi zingine mawazo yao ya biashara, huwezi kuta vuijana kama wakule NIGERIA WANAPEANA USHAURI WA BODABODA HATA SIKU MOJA,
Nilizama Aidea ambayo hata ukiitwa kwenda kupresent mahali watu wanakuna vichwa na kukuona wewe ni mtu mwingine kabisa, sasa unaitwa unaenda kupresent Bajaji na Bodaboda utaonekana wa ajabu sana
Wenzenu wenye idea mnazosema hawawazi kuhusu kula. Kumbuka, sisi inabidi ufanye chochote ilimradi mkono uende kinywani. Hatuna suport labda kwa watoto wa kishua. Ndio maana tunaishia kushauriana vitu vya kutupatia chochote kitu na sio kuendeleza hicho kitu kikakuahiyo ni kweli kabisa. Tujifunze kuwa na idea mpya ili tutamaniwe siyo kutamani. Kaka hapo juu umenikuna.....
Nenda kusini ndani ndani huko ununue heka 30 za shamba upande korosho, tafuta hati na kila kitu baada ya miaka miwili peleka hati benki uombe mkopo MIL 190Mi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili nachukua shahada ya uhasibu. Wana JF nina mtaji sh. Million 5. Je naweza kuwekeza katika aina gani ya biashara na iweze kunilipa vizuri kwa miaka 2. Naombeni mnisadie kwa hili.
Kerege ndo wapi?Nenda Kerege. Kamata ekari za shamba. Miaka miwili unauza mara tatu ya bei uliyonunulia.
Nina idea y kuuza mitungi y gasi je inalipa dear npo interested San n hii kituKama upo maeneo mazuri anzisha huduma ya MPSA inalipa sana kama ukishindwa MPSA anzisha duka la kuuza mitungi ya gesi nayo inalipa but depending with your location kama upo kwetu mkoa mpya wa Katavi biashara ya mitungi ya gesi hapo haina nafasi maana bado tuna misitu minene kwa hiyo tunatumia mkaa kwa sana
Yeah hasa ukizngatia n kwamb faida yke et mpka uwait kW muda w two years ,khaa Mimi Dada angu alijuta baada y mkopo wake wote kununulia Boda ...tunataka wajasiriamali wenye financial stability kama kina Aliko Dangote, sasa bodaboda sioni kama kuna nafasi ya kukua zaidi ya kupata hela ya kula tu.
Mrejesho mkuuMi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili nachukua shahada ya uhasibu. Wana JF nina mtaji sh. Million 5. Je naweza kuwekeza katika aina gani ya biashara na iweze kunilipa vizuri kwa miaka 2. Naombeni mnisadie kwa hili.
huyu kama alikusikiliza then saa hizi ni tajiriNenda Kerege. Kamata ekari za shamba. Miaka miwili unauza mara tatu ya bei uliyonunulia.
Jaribu nyalugusu machimboni kaka nahic huko hutakosa kibaruaKwa walio mwanza au wenyeji wa mwanzs wanisadie sehemu ambapo ntapata kazi yoyote ile ambayo haina uhitaji wa vigezo vya elimu
Hiyo ilikuwa zamani sio leo awamu ya tano, ardhi /plot zimeshuka bei miaka 20 nyuma, plot iliyouzwa 50 mln 2012/2013 leo inauzwa 15 mlnhuyu kama alikusikiliza then saa hizi ni tajiri
Mkuu kwema ? Nataka kuelekea nyalugusu huko kupambana na maisha vp una uzoefu na maeneo hayo unipe hints kidogo
Kwenye hii on average atapata 700,000 per month I'm gross income but subject to changes in demand and supply so it is equally likely that the price can also drop from 35,000 to 25,000 in four monthsSikushauri ununue bodaboda. utapata presha bure. nimeshaifanya inausumbufu sana. Nenda kibaigwa nunua alizeti kwa sasa gunia ni elfu 35 , kaifadhi kwenye mashine za kukamulia ,kaa miezi mi4 uza gunia kwa elfu 55. Ushauri zaidi ni pm